JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Vita yanukia

Hatari na wasiwasi uliokuwapo mwaka 2014 kwamba dunia ilikuwa na uwezekano wa kuingia katika Vita Kuu ya III ya Dunia, umerejea na wakati wowote dunia inaweza kuingia vitani. Pamoja na kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump, wakati wa kampeni alisema…

Ukweli usemwe kutekwa kwa Roma Mkatoliki

Msanii wa Bongo Fleva, Ibrahim Musa aka Roma Mkatoliki, aliyetoweka baada ya kudaiwa kukamatwa mapema siku ya Alhamisi katika mji wa Dar es Salaam, amepatikana na amekuwa akihojiwa kwa saa kadhaa baada ya kupatikana. Taarifa zinasema Roma Mkatoliki alirudi kwake…

Utapeli wa ardhi Dodoma

Mjane miaka 84 alizwa, mabaraza ya ardhi yakithiri rushwa Lukuvi aombwa kutatua mgogoro Mkazi wa Kijiji cha Handali, Wilaya ya Dodoma Vijijini, Hilda Mzunde (84), amemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, kuupatia ufumbuzi mgogoro wa…

Serikali idhibiti magenge ya utekaji

Wiki iliyopita habari kubwa kwenye vyombo ya habari ilikuwa ni kutoweka/kutekwa kwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’ ambaye hata hivyo alipatikana siku ya Jumamosi. Wakati Roma akiwa kusikojulikana na kuzua sintofahamu miongoni mwa wanafamilia yake,…

Wasanii wanaharibu utamaduni wetu

Leo nimeona nijiegemeze katika tasnia ya maigizo ya hapa Tanzania.  Tangu kuwasili kwa utandawazi katika upwa wa Afrika Mashariki mwanzoni mwa miaka ya 1990s, kufunguliwa kwa milango ya soko huria, tasnia ya maigizo nayo haikuwa nyuma.  Mabadiliko makubwa tukaanza kuyashuhudia…

Wabunge wetu, kodi ya nyumba

Leo najua Taifa linakabiliwa na matatizo mengi. Kuna wenzetu waliopotea kwa kusema ukweli. Sina uhakika kama kwa mwenendo huu nchi yetu itabaki salama. Wanaopotelewa na ndugu zao wakiungana, tutakuwa na jeshi kubwa la kupinga upoteaji. Sina uhakika pia kama kwa…