Author: Jamhuri
Kujenga Tanzania: Nini kifanyike? (3)
Mwalimu pale pale Arnaoutoglou alisema – “Jeshi la Kujenga Taifa liko mfano wa Jungu Kubwa (Moulding Pot) ambamo vijana wa tabia na mienendo mbalimbali wanatakiwa kupikwa pamoja na kuundwa kuwa vijana wa Taifa moja lenye nguvu na wenye tabia na…
Nimeelimisha, nimehadharisha na nimeonya kuhusu Loliondo
Kuna taarifa zisizo na shaka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, amehakikisha anapeleka taarifa ya ‘kutungwa’ kwa Waziri Mkuu. Amependekeza Pori Tengefu la Loliondo lifutwe, badala yake kuanzishwe Hifadhi ya Jamii (WMA). Haya ni mapendekezo yake, wala si…
Yah: Kupanga ni kuchagua na kuchagua ni kupanga, dugu moja
Nianze waraka wangu wa leo kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kunipa uhai mrefu wa kuweza kuyaona mambo ya dunia hii ya awamu mbalimbali na mambo tofauti, yanayoleta changamoto katika kichwa changu. Huwa nawaza sana juu ya vitukuu vyangu vitaionaje dunia ambayo…
Hofu kutawala nchi ni hatari
Watanzania tumepata kusikia na baadhi yetu wamekumbwa na vitendo vya kubakwa, kutekwa, kujeruhiwa na wengine kuuawa. Tunadhani vitendo hivi viovu vina asili ya uendeshaji maisha au ukinzani wa kisiasa ndani ya nchi yetu. Ukweli tumeingiwa na hofu, hata kudhania kwamba…
Watanzania tunahitaji kuongeza uelewa wetu wa sheria
Kwa siku chache juma lililopita nimetoa darasa fupi juu ya sheria ya kutunza kumbukumbu za waasisi wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na Sheikh Abeid Amani Karume. Hii sheria inajulikana kwa Kiingereza kama Founders of the Nation (Honouring Procedures) Act…
Serikali yaiokoa TFF
Serikali imeingilia kati kulinusuru Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya ofisi zake kufungwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushindwa kulipa kodi ya shilingi bilioni 1 inayodaiwa kwa miaka mingi. Deni hilo lilitokana na TFF kushindwa…