Author: Jamhuri
Siri ya mauaji
M atukio ya ujambazi wa kutumia silaha, mauaji ya polisi na viongozi wa vijiji katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji mkoani Pwani, yanahusishwa na vikundi vya vijana wanaopata mafunzo kutoka kwenye kundi la al-Shabaab nchini Somalia, JAMHURI limefahamishwa. Kwa…
Korea Kaskazini yaitisha Marekani
Yafanya maonesho ya makombora hatari Wakorea wasema wako tayari kwa mapigano Pyongyang, Korea Kaskazini Korea Kaskazini imeadhimisha miaka 105 ya kuzaliwa kwa mwasisi wa taifa hilo, Kim II-sung, kwa kufanya maonesho ya silaha za nyuklia. Maonesho hayo…
Barabara yavunja rekodi
Wakati Rais John Magufuli, akijitahidi kubana matumizi, Manispaa ya Morogoro imejenga barabara ya lami yenye urefu wa Kilomita 4, kwa gharama ya Sh bilioni 12. Gharama hiyo imevunja rekodi ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami nchini, uchunguzi wa…
Mafuta yanukia Zanzibar
Kazi ya uchambuzi wa taarifa za utafiti wa awali kuhusu rasilimali za mafuta na gesi asilia katika visiwa vya Zanzibar na bahari yake, imeanza huko Edinburg, nchini Uingereza, na inatarajiwa kukamilika baada ya mwezi mmoja. Uchambuzi wa taarifa za utafiti wa…
Tunapoikaribisha laana …
Nachukua fursa hii kutoa pole kwa ndugu zetu waliowapoteza wapendwa wao, Jeshi la Polisi, nchini na Taifa kwa ujumla. Nasikitika kuona nchi yangu Tanzania, nchi iliyosifika kwa kuwa na upendo, amani na utulivu, hivi sasa imeanza kuwa historia kutokana na…
Tuilinde sera yetu
Siku ya Jumamosi iliyopita imekuwa nzuri kwa wafuatiliaji siasa na sera. Rais John Magufuli ametoa mwelekeo wa mabadiliko ya sera kubwa mbili, moja ikiwa ni Sera ya Mambo ya Nje, na ya pili ikiwa ni ya elimu ya juu. Vyuo…