Author: Jamhuri
Naomba kazi uhamiaji
Katika nchi ambazo najivunia kuzifahamu na kuishi maishani mwangu ni Tanzania. Naipenda nchi yangu kutokana na kila kilichomo ikiwa ni pamoja na baadhi ya viongozi wake. Kwa siku ya leo nitakumbushia andiko langu la mwaka mmoja uliopita ambalo niliwahi kumwandikia…
Mwenyekiti alivyoitafuna Halmashauri Ukerewe
Dhana ya kupambana na ufisadi inahitaji jicho la ziada kutokana na watumishi wa umma kutumia fursa wanazopata kujineemesha nje ya utaratibu rasmi wa kiserikali, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI, umebaini. Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe imeingia katika mgogoro mkubwa, baada…
ATC ni zaidi ya biashara (1)
Watanzania wamelipokea kwa furaha tamko la Rais John Magufuli kuamua kulifufua Shirika la Ndege Tanzania (ATC) lililopotea kwa miaka zaidi ya miaka 16 sasa. ATC ilianzishwa mwaka 1977 baada ya shirika la ndege la East African Airways (EAA) kuvunjika kutokana…
Trump: Ni maoni yake
Mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump (pichani), amempongeza kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, siku chache baada ya kiongozi huyo wa dini kutilia shaka kuhusu imani yake ya kidini. Papa amesema kuwa pendekezo la Trump la kujenga…
Hatoki mtu mpaka kifo – Rais Mugabe
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ameamua kuweka pamba masikioni, baada ya kupuuzia wito wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon, kwa viongozi wa Afrika kuacha kung’ang’ania madaraka kwa muda mrefu. Hakuna ubishi kwamba kauli hiyo ya Ban…
Madeni ya Taifa na mchakato wake (3)
“Kama ingelikuwa ni baina ya watu wawili binafsi (wanakopeshana fedha), na si kati ya mtu binafsi na benki, basi wasingeliweza kuongeza fedha za kwenye mzunguko wa taifa kwa mkopo, kwa sababu mkopeshaji asingaliweza kukopesha kitu ambacho hana, kama ambavyo mabenki…