JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Upinzani si kupinga kila kitu

Kambi ya Upinzani bungeni imeanza kuonesha mambo yaliyo kinyume na maana halisi ya upinzani, kuhakikisha inapinga kila kitu kinachokuja mbele yao.  Hilo ni jambo la kusikitisha na kushangaza ikichukuliwa kwamba kambi hiyo imesheheni watu walio waelewa wa mambo mengi mbalimbali….

ATC ni zaidi ya biashara (2)

Kulikuwa na utatanishi juu ya kuleta mwili wake hapa nyumbani kutokea Uingereza mara baada ya kufariki Oktoba 14, mwaka 1999. Uingereza walitoa ndege ya ROYAL AIRFORCE, ili ilete mwili wa Mwalimu Nyerere. Ni usafiri wa bure kama ilivyo kwa Serikali…

Yoweri Museveni, Rais asiyekubali kushindwa

Katika Uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika Februari 18, mwaka huu, waangalizi 50 waliwasili kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakiongozwa na Rais (mstaafu) wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi. Yeye na timu yake waliwasili Uganda Februari 9 na wakaondoka…

Tanzania yenye baraka inawezekana

Katika makala yangu wiki iliyopita, nilieleza kuhusu chanzo cha nchi yetu kuwa maskini, wakati Mwenyezi Mungu ametujaalia rasimali nyingi kuliko mataifa mengine duniani kote, kwamba ni laana ambayo imetokana na viongozi wetu waliotangulia kuilaani Israel. Wako baadhi ya wasomaji waliokubaliana…

Tatizo halikimbiwi, hukabiliwa

Mwanadamu ni kiumbe tofauti na viumbe wanyama wengineo hapa duniani. Kimaumbile viumbe wanyama wote wako sawa kwa maana wanatawaliwa na silika au vionjo vya miili. Mathalani, kila mnyama anaupenda uhai, hivyo anatambua adui wake na silika inamwelekeza namna ya kujikinga…

Rais Magufuli angazia mafuta ya mawese (2)

Wabunge wazoefu wamelia na kuiomba Serikali isibariki “mauaji” haya kwa wakulima wetu. Wametumia kila aina ya maneno kuwashawishi wakubwa serikalini, lakini mwishowe wameshindwa. Historia itawahukumu kwa haki. Hansard zipo. Nani hawezi kuamini kuwa ushindi ambao serikali imeibuka nao bungeni umetokana…