JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Zitto anyukwa

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT), Zitto Kabwe ameangukia pua baada ya kubainika kuwa hoja anayojenga bungeni ni ya “kubumba”, Uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Kwa muda sasa Zitto amekuwa akitoa matamko bungeni na kuandika katika mitandao ya kijamii kuwa ndege ya…

Anne Makinda yamfika

Uamuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Anne Makinda, wa kuwafurusha wakurugenzi na watumishi kadhaa wa Mfuko huo, unaelekea kuitia Serikali hasara ya Sh bilioni 9. Kiasi hicho cha fedha huenda kikalipwa kwa…

CMA wawapendelea matajiri

Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), imelalamikiwa kwa vitendo vya rushwa kwa kufanya uamuzi unaoonesha kuwapendelea matajiri wanaolalamikiwa na wafanyakazi wao kwa kutowalipa haki zao na kuwafukuza kazi bila utaratibu. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wananchi wapatao saba waliofungua…

Dk. Shein ameifanyia Zanzibar mazuri

Ni miaka saba sasa tangu Dk. Ali Mohammed Shein, Rais wa Awamu ya Saba Zanzibar kushika hatamu za uongozi wa Visiwa vya Zanzibar baada ya ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mengi yalisemwa na kuandikwa kuhusu utawala wake utakavyokuwa kabla…

Waandishi tujimulike kielimu

Wiki iliyopita yametokea matukio mawili makubwa. Wanahabari tumeadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari. Siku hii inaadhimishwa kimataifa na kitaifa imeadhimishwa jijini Mwanza. Kaulimbiu ya siku ya mwaka huu imekuwa ni Fikra Yakinifu, Jukumu la Vyombo vya Habari katika…

Tujifunze kutunza muda

Faraja ya Raph W. Sockman inasema, “Msingi wetu wa matumaini ni kwamba, daima Mungu hamchoki mwanadamu.” Katika makala ya leo nitazungumzia matumizi ya muda na vikwazo mwanadamu anavyokumbana navyo katika safari yake ya maisha. Ninaomba kukuuliza swali hili: Kama leo…