Author: Jamhuri
Kupimwa ardhi mjini fuata utaratibu huu
Tunapoongelea upimaji ifahamike kuwa upimaji upo wa aina nyingi. Kutokana na hilo upimaji unaoongelewa hapa ni upimaji miliki. Lakini tunaongelea upimaji miliki wa ardhi mijini na siyo vijijini. Upimaji wa ardhi miliki ni upimaji ambao lengo lake ni kummilikisha mtu…
Fukuzafukuza inawanyima nini wapinzani Tanzania?
Ni jambo la kushangaza na kusikitisha kuona wapinzani wanapokosa jambo la kuikosoa Serikali ya Awamu ya Tano, wanaanza kukosoa maneno yao wenyewe. Wanakosoa hata kile ambacho wamekuwa wakiimba muda wote kwa namna ya ‘tukipata madaraka ni lazima tufanye namna fulani’. …
Arsenal kwanini?
Mashabiki wa Washika Bunduki wa England – Arsenal ‘the Gunners’, wana imani na timu yao, ndiyo maana katika mechi tatu za Ligi Kuu England, licha ya kutokuwa na matokeo ya kufurahisha, wamekuwa wakishangilia tu kwa kuimba “Tunaipenda Arsenal, Tunaipenda…” Kwa…
JWTZ kuwakung’uta wahalifu
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imelikaribisha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye mapambano dhidi ya majambazi na wahalifu wengine. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, ameikaribisha JWTZ ili itumie misitu na mapori…
‘Mahekalu’ Masaki, Oysterbay kuvunjwa
Serikali imeamua kufuatilia kwa kina wakazi wa Dar es Salaam wanaomiliki viwanja ambavyo kwenye ramani za mipango miji vinaoneshwa kuwa ni maeneo ya wazi. Maeneo ambayo Serikali inayamulika ni yale yenye hadhi, umaarufu na thamani kubwa yaliyopo Oysterbay, Masaki, Mikocheni,…