Author: Jamhuri
Misamaha ya kodi ilivyoumiza nchi
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi na Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2015/2016 imefichua jinsi nchi inavyopata hasara kutokana na misamaha ya kodi iliyotolewa na Serikali. Katika ripoti hiyo, CAG amebainisha matumizi yasiyostahiki ya misamaha ya kodi kwa…
TEF inatetea uhuru wa habari
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na baadaye, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luteni Yusuf Makamba, alipata kusema hivi: “Mti wenye matunda ndiyo unaorushiwa mawe.” Wiki iliyopita nimethibitisha kauli ya Luteni Makamba. Nimeithibitisha baada ya kutia…
Eti Lembeli naye anamsema Magufuli!
Wahenga waliwahi kusema kuwa nyani haoni kundule. Suala la vyeti feki na hatua madhubuti zilizochukuliwa na Rais John Pombe Magufuli ndio ‘habari ya mjini’ sasa hivi. Uthubutu huu unastahili pongezi za dhati kutoka kwa watu makini na wapenda haki wote….
Utata wa Jaji Aloysius Mujulizi
Wiki iliyopita Ikulu jijini Dar es Salaam ilitoa taarifa ya kile kilichoelezwa kuwa ni kuridhia kwa Rais John Magufuli, kujizulu kwa viongozi watatu. Viongozi hao ni Jaji wa Mahakama Kuu na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, Aloysius Mujulizi; Jaji…
Ndugu Rais Wizara ya Elimu imeigusa mboni ya jicho yako
Ndugu Rais, huku mitaani wananchi wako wanasema wewe ni mkali sana. Wakati mwingine tunaonekana tukiongea kwa ukali na kufokafoka tu bila sababu za msingi kiasi cha kuwatia watu wetu kichefuchefu na wengine kuwafanya wajisikie hadi kizunguzungu. Lakini kwa ufisadi mkubwa…
Tumejipangaje kuzuia matumizi ya mkaa?
Awali ya yote nianze makala hii kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye kwa rehema zake nyingi anatujalia afya njema na amani katika Taifa letu. Mei 15, mwaka huu kupitia “dondoo za magazetini” (Radio Tumaini kipindi cha “Hapa na Pale” ilielezwa kwamba…