Author: Jamhuri
Polisi ‘waua’ mahabusu Moshi
Askari wa Kitengo cha Intelijensia katika Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, wanatuhumiwa kumpiga na kumuua ndani ya mahabusu, mtuhumiwa Virigili Ludovick Mosha (52). Moshi alikuwa mkazi wa Kijiji cha Mwasi Kusini, Kata ya Uru Mashariki, Wilaya ya Moshi Vijijini….
Wakuu wa mikoa sasa chapeni kazi
Rais John Magufuli, ameshatangaza wakuu wa mikoa yote 26 ya Tanzania Bara. Kwenye uteuzi huo kuna sura mpya, na sura nyingine zilizozoeleka. Tunawapongeza kwa imani ambayo Rais Magufuli ameionyesha kwao. Kama ilivyokuwa kwa wateule wengine, Watanzania hawatarajii kuona wateule hawa…
Uchaguzi hauna maana Afrika
Kwa maana yake halisi uchaguzi ni njia ya msingi ya jamii ya kujipatia viongozi kidemokrasia. Sifa mojawapo ya uchaguzi wa kidemokrasia au wa huru na haki ni uchaguzi kufanyika kwa siri. Sifa nyingine ni uchaguzi kufanyika mara kwa mara katika vipindi vinavyoeleweka,…
Kashfa mpya Bandari
Bandari ya Dar es Salaam imetumbukia tena katika kashfa, baada ya viongozi wake kutajwa kutumia kampuni wanayoimiliki kupata zabuni licha ya kutokuwa na sifa. Mgogoro mkubwa unafukuta bandarini hapo, kutokana na zabuni AE/016/2012/DSM/NC/01B ya kutoa huduma za kupakua na kupakia…
TFDA, NEMC wabanwa machinjio
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wameomba Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Bodi ya Nyama kuchukua hatua ya kuzifunga machinjio zilizokithiri kwa uchafu jijini humo. Wameieleza JAMHURI kwamba kero…
Umakini, uharaka wa Serikali ya Awamu ya 5
Umakini ni muhimu katika jambo lolote, lakini pia uharaka ni muhimu zaidi. Haina maana kwamba kitu chochote kinachofanyika kwa umakini ni lazima kiendeshwe kwa ugoigoi na kwa kupoteza muda. Ila uharaka ndiyo unaoonesha umakini unaotakiwa. Mtu makini ni mwepesi wa…