JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Bunge lapasuka

Tuhuma za wabunge kuchukua au kuomba rushwa kutoka katika mashirika na taasisi wanazozisimamia, zimechukua sura mpya baada ya kubainika mkakati unaosukwa na wabunge wafanyabiashara ya mafuta kuiangamiza Mamlaka ya Nishati na Maji (EWURA), waweze kurejesha uchakachuaji wa mafuta. Mbali na…

Wafanyakazi wachapwa viboko

Wafanyakazi wa Kampuni ya Usangu Logistics wanatarajia kuiburuza kampuni hiyo kortini kutokana na kuchapwa viboko, kufukuzwa kazi kinyume cha sheria na kunyimwa stahiki. Wanasema mwajiri wao mwenye asili ya Kiarabu, amekuwa akiwachapa bakora na kuwakata mishahara bila sababu za msingi,…

Kigogo Uhamiaji aibeba TBL

Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule, ameibeba Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL) kwa kupuuza agizo la kufanya ukaguzi kwa wafanyakazi kiwandani hapo. Vyanzo vya habari vya uhakika kutoka idarani humo vimedokeza kuwa Uhamiaji…

Takururu ichuguze kwa kina wabunge

Wiki iliyopita, Spika wa Bunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, alifanya mabadiliko ya nafasi mbalimbali za viongozi wa Kamati za kudumu za Bunge.   Habari tuliyochapisha leo inaonesha kuwa Spika Ndugai amechukua hatua hizo kutokana…

Wasaliti wa Chama Cha Mapinduzi

Tumesikia kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kipo mbioni kuwashughulikia wanachama wake wanaodaiwa kukisaliti chama chao wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka jana. Ni uchaguzi ule wa kihistoria ambao tulishuhudia ushindani mkubwa. Haijulikani CCM itatumia njia gani kuwapata wasaliti wake kwa haki….

Fukuto kali Mwalimu Nyerere University (2)

Kuna tatizo kubwa sana katika suala la hili, wahadhiri wengi katika idara ya Elimu na taaluma za jinsia wanafundisha masomo wasiokuwa na ubobevu nayo. Mfano: i. Mhadhiri ana shahada ya uzamili katika uongozi wa elimu, anafundisha historia kwa wanafunzi wa…