JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Loliondo tena

Mkakati mahsusi umeandaliwa na raia wa kigeni kwa ushirika na taasisi mbili zisizo za kiserikali (NGOs) za hapa nchini, ukilenga kuichafua Serikali kupitia mgogoro wa ardhi katika Pori Tengefu la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha, JAMHURI limebaini. Raia wa Uingereza na…

Nani kasema Bodi ya Wakurugenzi Acacia ndiyo timu yao ya majadiliano?

Tutofautishe timu ya majadiliano na Bodi ya Wakurugenzi ya kampuni. Kawaida timu ya majadiliano haiundwi na wakurugenzi wa kampuni, bali wakurugenzi wa kampuni ndio huwa wanateua watu wa kuunda timu ya majadiliano na hao walioteuliwa huripoti matokeo ya majadiliano kwa…

Bila kupitiwa mikataba …

Pamoja na kumpongeza Rais John Magufuli kwa uthubutu na uzalendo wake kwa Watanzania anaofanya katika maeneo mbalimbali, bila kupitiwa upya kwa mikataba yote bado hatutakuwa na jipya. Hali ya umaskini wa Watanzania baada ya utawala wa awamu ya kwanza imechangiwa…

Wanaobakwa wahurumiwe

Hivi karibuni Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo kuwa chini ya uongozi wake mwanafunzi yeyote atakayepata mimba akiwa shuleni; shule za msingi na sekondari atafukuzwa shule. Rais Magufuli amesema wazi kuwa watakaohusika kuwapa mimba watoto nao watafungwa kwa mujibu wa…

TMF yaipa ruzuku JAMHURI

Wakufu wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF) umelipatia Gazeti la JAMHURI Ruzuku ya Mabadiliko (Transformation Grant) kwa ajili ya kufuatilia habari za uchunguzi. Gazeti la JAMHURI, limepata fursa ya kupewa ruzuku sambamba na gazeti jingine la Mwanahalisi, na redio nne…

Kodi za majengo, mimba za utotoni

Kwa muda wa wiki mbili sasa sijaandika katika safu hii. Nimepata simu nyingi, na ujumbe mfupi, wengi wa wasomaji wangu wakidhani kuna maswahibu yamenisibu. Nawahakikishia niko salama bin salimin na buheri wa afya. Sikuweza kuandika katika kipindi cha wiki mbili…