Author: Jamhuri
Mikopo yaponza wabunge
Hatua ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ya kuwafikisha wabunge wanne mahakamani kwa tuhuma za kuomba rushwa, uchunguzi wa JAMHURI umebaini kuwa mikopo waliyochukua wabunge kutoka benki mbalimbali nchini imegeuka mwiba kwao. Taarifa za benki mbalimbali na…
Sumaye ahusishwa ‘uporaji’ kampuni
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sincon, Peter Siniga amemwandia barua Rais Dk. John Magufuli akimtaka kuingilia kati sakata la dhuluma dhidi yake iliyodaiwa kusukwa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye. Barua yenye Kumb. Na. SN/PRE/2015/11/01 kwenda kwa Rais Dk. Magufuli…
Mwalimu Nyerere wadanganya umma
Kwa wiki mbili zilizopita gazeti hili la JAMHURI, limechapisha taarifa za upungufu mkubwa na matatizo mbalimbali yaliyoko katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, zamani kikijulikana kama Chuo cha Siasa Kivukoni. Miongozi mwa habari zilizochapishwa na JAMHURI, ni pamoja na…
Tufungie mlango misaadaa ya wahisani
Zimepita wiki tano bila mimi kuandika safu hii ya SITANII. Nilikuwa na jukumu zito la kuuhabarisha umma juu ya mbinu za aina yake zinazotumiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) kuepuka kodi. Katika habari hizo nimefanya uchunguzi wa kina…
Historia inavyopotoshwa shuleni
Walimu wanapolalamika kwamba wanatumia vitabu vibovu kufundishia, hapana shaka wengi hawajui ukubwa na uzito wa tatizo hili. Kuna walimu katika shule zetu wanajua mambo sahihi lakini wanalazimika kufundisha mambo potofu yaliyomo vitabuni kwa sababu wasipofanya hivyo wanafunzi wao watashindwa mtihani!…
Wanywaji wailalamikia TBL
Wananchi na watumiaji wa bia wamelalamikia hatua ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupandisha bei ya bia kabla hata bajeti ya Serikali haijapitishwa. Tangu Aprili 1, 2016 bei za bia zimepanda kutoka wastani wa Sh 2,300 na kufikia 2,500, huku…