Author: Jamhuri
Polisi washiriki magendo Moshi
Askari wa Jeshi la Polisi, mgambo na baadhi ya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanatajwa kutumiwa na genge la wafanyabiashara wa mahindi kuwezesha usafirishaji mahindi kwa njia za panya kwenda nchi jirani ya Kenya, uchunguzi wa JAMHURI umebaini….
Watanzania tushikamane
Katika toleo la leo tumechapisha taarifa zinazoonyesha kuwa Serikali imechukua hatua ya kurekebisha kasoro zilizodumu kwa takriba miaka 20 katika sekta ya madini. Serikali imepeleka bungeni miswada ya sheria tatu zenye lengo la kupitia mikataba ya sasa ya madini na…
Magufuli madini historia haitakusahau
Wiki iliyopita Serikali imepeleka bungeni miswada mitatu kwa hati ya dharura. Miswada hiyo ni Muswada wa Sheria ya Mapitio na Majadiliano kuhusu Masharti Hasi katika Mikataba ya Maliasili za Nchi wa Mwaka 2017 [The Natural Wealth and Resources Contracts (Review…
Naipenda Tanzania Yangu, Nasimama na Rais Wangu
Kila siku nashuhudia wananchi wenzangu wakikalamika. Natamani kujibu. Naacha. Natamani kuwakumbusha wananchi wenzangu. Naacha. Nasema mbona sisi ni wepesi kusahau? Natamani kuwakumbusha wabunge wenzangu. Naacha. Nasema na mimi sasa nipo kwenye Serikali. Ni mtunga sera, ni mfanya maamuzi, nikisema watasema…
Ndugu Rais, Muumba akujalie ulinzi ‘wa kufa mtu’
Ndugu Rais kazi ambayo unaifanyia nchi hii ni njema sana. Na kwa hili Mwenyezi Mungu akutangulie! Lakini, baba, tambua kuwa katika kuifanya kazi hii njema, uko peke yako! Na maadui wako wakubwa wako nguoni mwako! Kumbuka methali ya kikulacho… Baba…
Takukuru yamchunguza Meneja MPRU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeanza uchunguzi wake dhidi ya Meneja wa Taasisi ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU), Dk. Milali Machumu ambaye analalamikiwa kwa kuwanyanyasa na kuwafukuza wafanyakazi bila kuzingatia taratibu zilizowekwa. Kwa mujibu…