JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Spika amtaja rais ajaye

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amesema kuwa nchi kwa sasa inahitaji rais jasiri atakayeweza kuwa tayari kusimama kwa ajili ya nchi yake na watu wake. Ndugai aliyasema hayo katika mahojiano maalum na Gazeti…

Amani Tanzania inatuponyoka taratibu

              Kwa muda sasa nimefuatilia matukio yanayoendelea nchini. Nimesoma habari mbalimbali zinazoonesha askari polisi wakiuawa kwa risasi na kunyang’anywa bunduki katika maeneo kadhaa hapa nchini. Tumesikia ‘magaidi’ katika mapango ya Amboni Tanga.  Vituo vya…

Tusipuuze taarifa hizi

Katika moja ya habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili ni taarifa za tishio la ugaidi zinazotolewa na moja ya makundi ya kigaidi linalojihusisha ushambuliaji. Wiki mbili zilizopita, magaidi wa al-Shabaab walifanya shambulio kubwa la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garisa, mpakani…

Mimi ni Mwalimu, niliingia siasa kama ajali tu

                  Watanzania mwaka huu wanaingia kwenye Uchaguzi Mkuu wa tatu, bila ya mwasisi wa Taifa hili, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Taarifa zinasema kwamba Nyerere alizaliwa mwezi kama huu, tarahe 13 (ya jana),…

Tumepataje amani, tunaidumishaje?

Awali ya yote napenda nichukue fursa hii kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ambaye kwa mapenzi yake anatujaalia afya njema. Si kwamba sisi tunastahili kuliko waliokufa, bali sisi kuwapo kwetu hadi leo ni kwa rehema na neema yake tu Mwenyezi Mungu.  …

‘Drones’ zitaua uhuru wa Afrika (2)

Tanzania imebadilisha sheria za kumiliki ardhi karibu mara nane katika muda wa miaka kumi na moja ili kuruhusu wananchi kuporwa ardhi yao na wageni – “kisheria”. Uhalali wa sheria yoyote ni kutenda haki; lakini sheria zinazoidhinisha uwekezaji wa wageni katika…