Author: Jamhuri
Katibu Mkuu asalimu amri
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Mpoki Ulisubisya, hatimaye amesalimu amri na kurejesha gari, mali ya Serikali alilojimilikisha akiwa Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa, Kanda ya Mbeya. Gari hilo – Toyota…
Jipu Chuo cha Mandela Arusha
Wakati Serikali ya Awamu ya Tano ikisisitiza ubanaji matumizi, Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) ya jijini Arusha, imebainika kukodisha nyumba na kulipa mamilioni ya shilingi kila mwaka bila kuitumia. Nyumba hiyo ipo Kitalu ‘C’ eneo la…
Tufunge mlango wa misaada – 2
Wiki iliyopita sikuandika katika safu hii. Kwenye tanbihi, nilieleza kuwa ilikuwa nashughulikia habari nzito inayoendelea kuchapishwa na gazeti hili kuhusu Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kutolipa kodi sahihi. Wiki moja kabla ya wiki iliyopita, ilikuwa nimezungumzia suala la nchi hii…
Tuitazame upya elimu tunayotoa (1)
Kwa muda mrefu nchini Tanzania tumekuwa na Wizara ya Elimu ambayo haikusimamia elimu kwa ufanisi. Badala yake tumekuwa na viongozi watendaji wa wizara hiyo ambao wamekuwa wakiweka mbele maslahi yao binafsi. Wakajipatia asilimia kumi kutoka kwa wachapishaji wa vitabu kwa…
Dhambi hii ya kuiua Serengeti iepukwe
Katika toleo lililopita la gazeti hili, miongoni mwa habari zilizoripotiwa kwa ukubwa wa pekee ilihusu kifo kinachoikabili Hifadhi ya Taifa Serengeti (Senapa). Habari hiyo ilikuwa na picha zilizoonesha makundi ya ng’ombe wakiwa ndani ya Hifadhi; na alama za mipaka zilizo…
Ujanja wa SABmiller mabosi wa TBL
Kampuni ya SABmiller haitafuni kwa bahati mbaya matunda ya kodi pekee kutoka nchi zinazoendelea. Mikakati yake ya kukwepa kodi ni zaidi ya kawaida, kwani inatumia njia ya kampuni zinazohusiana na kampuni hiyo zilizozoko sehemu mbalimbali duniani. Kadhalika, inatumia Kundi la…