JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete kuwakwamua wanyonge

Ugonjwa wa moyo umeendelea kuwa tishio nchini, licha ya jitihada zinazofanywa na Serikali na wadau wa afya kutoa elimu kwa wananchi  juu  ya  namna ya kukabiliana na ugonjwa huo. Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ni miongoni mwa taasisi…

Wananchi walilia sekondari yao

Wananchi wa Kata ya Makata, wameulaumu uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale mkoani Lindi kwa kutelekeza mradi wa ujenzi wa Sekondari ya Wasichana Makata ambao ulitakiwa kukamilika miaka mitano iliyopita, JAMHURI limebaini. Kukwama kwa mradi huo kumetokana na kupotea…

Rubani wa Precision Air atuzwe

Wiki iliyopita rubani wa ndege ya Shirika la Precision inayoruka kutoka Nairobi kuja Dar es Salaam, Rizwan Remtura amelifanyia taifa letu kazi ya kupigiwa mfano. Rubani huyo amefanya tukio ambalo hakuna aliyepata kuliwaza na ni tukio ambalo likitazamwa kwa mapana…

Serikali yampatia tuzo Dk. Jane Goodall

Huwezi kuzungumzia kuhusu Hifadhi za Taifa za Gombe, pamoja na ile ya Milima ya Mahale, bila kutaja jina la Dk. Jane Goodall, ambaye ametumia miaka zaidi ya 57 katika kutafiti maisha na tabia za sokwe. Katika kutambua jitihada zake, Serikali…

Bandari yaboresha huduma

Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeanza kuwa na mabadiliko makubwa ya kiutendaji katika kipindi cha miaka miwili iliyopita. Katika kudadisi hilo, Mwandishi Maalum amefanya mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit C.V. Kakoko yanayobainisha hatua baada ya nyingine juu…

Ndugu Rais simama mwenyewe baba

Ndugu Rais, wako watu wema wengi sana katika nchi hii ambao wana fikra nzito zilizo juu ya vyama vya siasa. Kwao wao ni nchi yangu kwanza! Na kama mkosi vile wako pia watu wenye fikra finyu kabisa ambao fikra zao…