Author: Jamhuri
Ushirikiano wa TANU na ASP kabla ya 1964 (2)
Ushirikiano kati ya TANU na ASP uliongezaka uchaguzi wa Juni 1961 ulipokaribia. ASP ilifungua ofisi kwenye makao makuu ya TANU mwaka 1961. Thabit Kombo alisafiri Dar es Salaam mara kadhaa Aprili kuhakikisha kwamba ofisi ya ASP inafanya kazi Dar es…
Bado sijaona kosa la Rais Magufuli
Tukisema tunaambiwa mahaba yametuzidi. Tunaambiwa tunyamaze kwa kuwa furaha yetu ni ya muda- bado yuko kwenye honeymoon (fungate). Wapo wanaosema eti hata Jakaya Kikwete, alipoingia madarakani mwaka 2005 tulimshangilia, lakini baadaye ni sisi hao hao tuliogeuka na kuanza kumlaumu kwa…
Yah: Mheshimiwa Rais tunaomba yafanye yafuatayo:
Siku chache zilizopita baada ya kuapishwa, umefanya yale ambayo wengi hatukutarajia kama kweli ungeweza kuthubutu kuyafanya pamoja na kaulimbiu yako ya ‘hapa kazi tu’. Wengi hatukuamini kwa sababu tulijua ni walewale wa kunadi visivyotekelezeka kama ilivyokuwa kwa miaka mingine ya…
Jipu ni istilahi mpya ya kisiasa
Jipu ni uvimbe mkubwa unaotunga usaha. Chanco cha jipu kuota sehemu yoyote ya mwili wa mtu ni bacteria, viumbehai vidogo sana visivyoonekana kwa macho ila kwa hadubini, ambavyo huingia sehemu fulani ya mwili na kuozesha sehemu hiyo baada ya kuwashinda…
Mwanasiasa Mmarekani kuitwa Mjamaa ni sawa na tusi la nguoni
Habari nyingi siku hizi zinahusu vitimbi vya mfanyabiashara tajiri Mmarekani Donald Trump, katika kampeni zake za kuwania kuteuliwa mgombea urais kupitia chama cha Republican katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Kwenye kampeni hizo kwa upande wa chama cha Democrat, mwanasiasa…
Mtanziko Chuo cha Mahakama Lushoto
Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto kilianzishwa kwa sheria ya Bunge namba 405 ya mwaka 1998. Miongoni mwa majukumu ya chuo ni kutoa mafunzo ya sheria ya ndani na ya kimataifa( local and international training) kama itakavyokuwa imeelekezwa na Baraza…