Author: Jamhuri
Chuo cha Mandela ni ‘shamba la bibi’
Ufisadi wa kutisha na matumizi mabaya ya madaraka vimebainika kuwapo katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) ya jijini Arusha, JAMHURI inawathibitishia wasomaji. Pamoja na kununuliwa kwa vifaa vya mabilioni ya shilingi ambavyo, ama havitumiki, au vipo…
Waliotafuna mabilioni Moshi wapagawa
Wanachama zaidi ya 300 wa Wazalendo Saccos wanakusudia kuwafikisha mahakamani viongozi wa chama hicho, uongozi wa chuo na taasisi za fedha zilizotoa mikopo kwa tuhuma za ufisadi wa zaidi ya Sh bilioni 6. Wakizungumza na JAMHURI, mwishoni mwa wiki iliyopita,…
Rushwa yavuruga Maliasili Maswa
Uongozi wa Pori la Maswa mkoani Simiyu, unatuhumiwa kupokea fedha kutoka kwa wafugaji na kuruhusu mifugo kuingizwa katika pori hilo. Baadhi ya wafugaji wamelalamika kukamatwa na askari wa wanyamapori, ilhali wakiwa wameshawapa fedha ili wawaruhusu kuingiza na kulisha mifugo ndani…
Jinsi ya kupunguza mianya ya ukwepaji kodi
Katika matoleo yaliyopita, gazeti la JAMHURI limeandika kwa kina taarifa ya uchunguzi juu ya mbinu zinazotumiwa na SABmiller kutolipa kodi sahihi. Katika toleo la leo tunakuletea sehemu ya mwisho ambayo ni ushauri kwa Serikali jinsi inavyoweza kupunguza mianya ya kutolipa kodi sahihi….
Obama aungama ‘makosa’ aliyofanya Libya
Rais Barack Obama wa Marekani amekiri kwa mara ya kwanza kwamba serikali yake ilishindwa katika uvamizi wa Libya mwaka 2011. Amesema hilo huenda ndilo “kosa kubwa” zaidi alilolitenda wakati wa utawala wake. Obama amesema Marekani haikuwa na mpango mahsusi wa…
Haki za binadamu zisimkwaze Magufuli
Zimeanza kujitokeza lawama kwamba Rais John Pombe Magufuli anakwenda nje ya haki za binadamu katika utendaji wake wa kazi, kwa mtindo wake maarufu wa ‘kutumbua majipu’. Baadhi ya watu wanadai kwamba mtindo huo alioubuni Magufuli wa kutumbua majipu unaonekana kuzikiuka…