Author: Jamhuri
Lugha isivunje nguzo zetu za Taifa
Na Angalieni Mpendu Lugha yoyote ni chombo cha lazima kwa mawasiliano na uelewano kati ya wanadamu. Lugha ikitumika vizuri na kwa ufasaha katika kundi moja na jingine au Taifa moja na taifa jingine huleta tija, maendeleo na uhusiano mwema. Ikitumika…
Yah: Tukumbushane mambo muhimu, tusidanganyane na umamboleo
Siku zote nawaambia kwamba miye umri ulinitupa mkono lakini kila siku napenda kuenzi kazi za mikono na thamani ya watu muhimu waliolitendea mema Taifa hili, thamani yao itazidi kuwa na maana kama sisi tuliopo tutaenzi na kuthamini kwa maana ya…
Mtetezi wa uhifadhi afungwa Loliondo
Mtetezi wa uhifadhi katika Pori Tengefu la Loliondo, Gabriel ole Killel, amefungwa gerezani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni chuki kutoka kwa viongozi wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) ambao amekuwa akiwapinga. Killel ambaye ni Mkurugenzi wa NGO ya KIDUPO, amefungwa…
Wachangia damu hatarini kususa
Wananchi wanaojitolea kuchangia damu kwa ajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, huenda wakakosa morali ya kuendelea kujitolea baada ya kubainika damu wanayochangia inamwagwa kwa kuharibika kutokana na ubovu wa mashine za kupimia sampo kabla…
Rubani wa Precision Air atuzwe (marudio)
Wiki iliyopita makala hii ilichapishwa. Hata hivyo, kimakosa kuna aya mbili zilikatika na kuifanya makala hii kupoteza maana ya kwa nini imeandikwa. Kutokana na wasomaji wengi kunipigia simu kuuliza ilihusu nini, naomba kuirudia makala hii. Pia naomba radhi kwa usumbufu…