JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kumshitaki kwa jinai aliyevamia ardhi yako

Katika migogoro ya ardhi, yapo mambo mengi ambayo hujitokeza. Yumkini hii yote huwa ni katika kusaka haki.  Liko jambo moja ambalo ni muhimu watu kulijua hasa wale ambao tayari wamejikuta katika migogoro ya ardhi.  Mara nyingi imekuwa ikitokea pale mtu…

Kuchanganya lugha ni changamoto endelevu

Watanzania wengi wanaozungumza Kiswahili na waliojaaliwa kupata kiasi fulani cha elimu, huugua ugonjwa ambao moja ya dalili zake ni kuongea au kuandika kwa kutumia zaidi ya lugha moja. Na kwa kawaida, lugha ya pili huwa ni Kiingereza.   Akifunga Mkutano…

Wafanyakazi ndiyo injini katika ujasiriamali

Mwishoni mwa Februari mwaka huu nilikuwa nikisafiri kutoka Wilaya ya Mvomero kuelekea Kilombero mkoani Morogoro. Nilipofika Morogoro mjini niliingia kwenye basi moja ambalo linafanya safari zake kati ya Morogoro mjini na Ifakara.  Muda niliokata tiketi katika basi hilo ilikuwa ni…

Seki Chambua amtia ndimu Simon Msuva

Wakati mshambuliaji chipukizi wa yanga mwenye kasi, Simon Msuva, akimaliza majaribio yake nchini Afrika Kusini, wadau mbalimbali wa soka wamempongeza kwa kuthubutu. Ingawa uongozi wa Klabu ya Yanga ulisema kuwa unakusudia kumuadhibu mchezaji huyo na klabu aliyokwenda kufanya majaribio, lakini…

Mbowe: Tunaingia Ikulu Oktoba 2015

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anasema; “Rais Jakaya Kikwete na CCM yake wamekwama na atatukabidhi nchi Oktoba.”  Mbowe, ambaye yuko kwenye ziara ya kuimarisha chama katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, anasema kwamba kukwama kwa…

Yanayoendelea Afrika Kusini ni mwendelezo wa ubeberu

Hisia tupu hazitusaidii kuzikabili changamoto zenye uhalisia mwingi. Kiendeleacho Afrika Kusini ni matokeo ya muda mrefu wa kupandwa kwa saratani ya ubaguzi wa kijamii, kisiasa na kiuchumi.  Haiyumkiniki ni kile kitarajiwacho baada ya jamii na tawala kujisahau, wakatokea kudunisha baadhi…