JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wachina wamkunja Meya Dar

Kampuni ya Ujenzi ya Tanpile Ltd ya China inalalamikiwa na wananchi waishio katikati ya Jiji la Dar es Salaam kwa uchafuzi wa mazingira na kelele usiku kucha, zinazosababisha washindwe kupumzika, JAMHURI inaripoti. Kampuni hiyo licha ya kupewa amri ya Mahakama…

Jimbo la Kiteto lawaniwa na watano

Jumla ya watu watano wametajwa kuwania Jimbo la Kiteto lililopo mkoani Manyara, kumrithi Mbunge Benedict ole Nangoro (CCM), anayemaliza muda wake mwaka huu. Waliotajwa kutaka kuingia katika kinyang’anyiro hicho ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Emmanuel Papian, Amina…

Ukimya wetu kwa CCM hii, unatosha

Mara baada ya kusoma makala hii, bila shaka utabaki kwenye akili ya mmoja wa wanafalsafa wa Uingereza aliyeitwa Francis Bacon (1561-1626). Alipata kunena kwamba “Anayeuliza mengi atajifunza mengi, na kubaki na mengi.”   Hii maana yake ni kwamba hakuna mtu…

Brig. Jenerali Mbitta aipa siri JAMHURI

Wiki mbili tangu kufariki na kuzikwa kwa Brigedia Jenerali Hashim Idd Mbitta, gazeti la JAMHURI limeibuka na makala ya mwisho aliyofanya mpiganaji huyo na aliyekuwa mwandishi wa mwandamizi wa gazeti hili, EDMUND MIHALE.  Katika mahojiano hayo yaliyofanyika Desemba 2013, Mhariri…

Yah: Naipenda Tz ya wajinga wengi

Kuna wakati huwa najiuliza, hivi ni kweli kwamba ngozi nyeusi ni alama ya laana au mkosi? Sipati jibu kwa kuwa wapo ambao wana ngozi nyeusi na hawakumbwi na laana hiyo, lakini pia huwa najiuliza, ni kweli kwamba kutawaliwa ni dalili…

Tunajivunia miaka 51 ya Muungano wa Tanzania

Jumapili iliyopita ya Aprili 26, Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar ulitimiza miaka 51 tangu ulipoasisiwa mwaka 1964 na Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, Sheikh Abeid…