JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Safari ya matumaini

Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu (mstaafu) Edward Lowassa, ameanza rasmi ‘Safari ya Matumaini’ baada ya kutangaza nia ya kugombea urais mwishoni mwa wiki na kuainisha nguzo za mafanikio. Katika mkutano wa kutangaza nia uliofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri…

Msuya asisitiza: Kila mtu atabeba msalaba wake

Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa David Msuya, amesema ajenda kuu ya sasa kwa Mtanzania ni kupata elimu bora, lakini anasikitika kuona Rais Jakaya Kikwete akidanganywa, naye anakubali kudanganyika. Pia amesema hajutii kauli yake aliyoitoa akiwa Waziri wa Fedha kuwa “Kila mtu…

Ni zamu ya William Ngeleja

Wakati makada wa CCM wenye nia ya kumrithi Rais Jakaya Kikwete wakiendelea kutangaza nia zao, imedhihirika kwamba William Ngeleja naye atafanya hivyo Alhamisi wiki hii. Taarifa ambazo gazeti hili imezinasa zinasema kwamba Ngeleja – mbunge wa Jimbo la Sengerema atatangaza…

Magufuli aibua mtikisiko urais

Uamuzi wa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, kutangaza rasmi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, umezidi kunogesha mchuano wa kuwania nafasi hiyo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa muda mrefu sasa, Waziri huyo amekuwa akitajwa kuwa…

Katika hili, tunaiomba Serikali itumie busara

Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT) kimeunda timu maalum itakayokwenda bungeni Dodoma, kuwashawishi wabunge wasiupitishe muswada wa Sheria wa Vyombo vya Habari baada ya kubaini umejaa kasoro. Muswada huo ulioandaliwa na Serikali, ulitakiwa kuwasilishwa katika kikao kilichopita kwa…

CCM wana la kujifunza

2015 ni mwaka ambao macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na kuwa katika kipindi cha changamoto ya wanachama wake ambao wanasaka nafasi ya ukubwa wa nchi. CCM inakumbana na changamoto ya wanachama wake kupigana…