Author: Jamhuri
Wajasiriamali na uwezo wa kupunguza rushwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara nchini Uingereza hivi karibuni kuhudhuria mkutano wa viongozi wa dunia kujadili tatizo la rushwa. Tatizo la rushwa lipo katika kila pembe ya dunia na ni mojawapo ya matatizo ambayo Serikali ya Rais John Magufuli…
Uozo kwa Aveva unamtakatisha Rage Simba
Hakuna asiyefahamu kuwa kwa sasa ndani ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam hali si shwari, kutokana na aina ya matokeo inayoyapata timu hiyo kwa msimu minne sasa. Simba imeshindwa kabisa kupata matokeo mazuri kutoka kwa Rais wa sasa…
Vigogo wagawana Tazara
Vigogo katika Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), wameuziana nyumba katika utaratibu ambao mmoja wao amenunua nyumba 18. Ofisa Masoko, George Makuke, ambaye kwa sasa amestaafu, amenunua nyumba 18 eneo la Idiga. Ofisa mwingine, Ezekiel Hosea, amenunua nyumba…
Kanisa la Wasabato linapodhulumu …
Mimi Baraka Mukundi, mkazi wa Arusha niliajiriwa na Kanisa la Wasabato Makao Makuu Arusha, Tanzania mwaka 1986. Niliendelea kufanya kazi na kanisa hilo katika vitengo vyake mbalimbali kwa kadri walivyokuwa wakinipangia kazi kulingana na taratibu za Kanisa za ajira. Kipindi…
TAKUKURU yawachunguza TBL
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeanza kufanya uchunguzi wa kina kwa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuthibitisha habari za kiuchunguzi zilizofanywa na gazeti hili la JAMHURI na kubaini kuwa TBL wanatumia udhaifu wa sheria kukwepa kodi nchini….
Benki ya Ushirika K’Njaro matatani
Benki ya Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro (KCBL) inakusudiwa kushitakiwa mahakamani kujibu tuhuma za kumdanganya mwanachama wa Benki ya Kijamii Vijijini (VICOBA) kuwa benki hiyo ingempatia mkopo wa Sh milioni 50. Mwanachama huyo, Vicent Mulamba, ameipa KCBL hati ya kusudio la…