JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TFDA yafunga viwanda India

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeelezwa kuwa ni taasisi bora barani Afrika inayoheshimika na kuaminika na Shirika la Afya Duniani (WHO), kutokana na utendaji wake uliokidhi viwango vya ubora. Hayo yameelezwa wiki iliyopita na Waziri wa Afya na…

Kampuni yatelekeza minara ya simu

Minara 292 ya mawasiliano iliyojengwa na Kampuni ya Simu ya Excellentcom Tanzania mwaka 2008, imetelekezwa bila kutoa huduma yoyote, JAMHURI linaripoti. Baada ya kuitelekeza kwenye viwanja ambavyo baadhi vina makazi ya wamiliki wa ardhi hiyo, kumefanya kampuni hiyo sasa kudaiwa…

Ngeleja anaamini katika haya

Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, ameahidi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba endapo atafanikiwa kuteuliwa na chama chake na baadaye kuchaguliwa na Watanzania, kazi itakayokuwa mbele yake ni kuhakikisha uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja unakua. Katika mahojiano kati yake…

Vijana wapewe nafasi Uchaguzi Mkuu (2)

Taifa linatarajia mabadiliko makubwa katika uchaguzi wa mwaka huu! Gazeti la Mwananchi Toleo No. 5419 la Jumatano Mei 27, 2015 uk. 33 limeelezea hoja zinazojitokeza kuhusu umri wa wagombea.  “HOJA ZA UJANA, UZEE katika vuta nikuvute uongozi wa Tanzania” habari…

Shwekelela: Nikiwa mbunge Kyerwa itaendelea

Homa ya uchaguzi imeikumba wilaya mpya ya Kyerwa, ambapo sasa Pancrace Shwekelela anasema “wakati ukifika nitatangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kyerwa baada ya kushawishiwa na watu, vikundi na marafiki zangu.” Jimbo la Kyerwa kwa sasa linashikiliwa na…

CCM ‘wasipogawana mbao’ nitashangaa!

Kiongozi wetu Mkuu anaendelea na ziara ya kuwaaga marafiki wetu wa maendeleo. Anazidi kuongeza idadi ya safari na siku alizokaa ughaibuni. Kwa Afrika, amejitahidi kuwaga kwa pamoja pale nchini Afrika Kusini. Lakini kwa Ulaya, Asia na Marekani, naona kaamua kwenda…