Author: Jamhuri
Ndugu Rais naiona kesho yangu
Ndugu Rais, naiona kesho yetu iliyopangwa na Baba. Kesho ya heshima iliyopangwa na Baba. Kesho ya neema, kesho yetu ya ushindi liyopangwa na Mungu. Sitaki kuitazama leo yetu. Leo yetu ni ya shida. Kuna majira hufika mambo yakawa magumu. Hata…
Watanzania tusiwe kama Thomaso
Desemba 9, 2018 imeangukia siku ya Dominika, ni siku ya Bwana, sisi Watanganyika tumefanya kumbukumbu ya mwaka wa 57 wa Uhuru wa taifa letu. Ni fahari kubwa sana kwa sisi sote kukumbuka Desemba 9, mwaka ule wa 1961 tuliojikomboa kutoka…
Namna ya kuishinda hasira yako (2)
Hasira hupunguza furaha katika maisha Hasira iko tofauti na upendo, hasira iko tofauti na furaha, hasira iko tofauti na msamaha. Hasira iko tofauti na huruma, hasira iko tofauti na amani. Ndugu wa hasira anajulikana, ndugu huyo ni hasara. Kila mmoja…
Wanyama wanamalizwa Loliondo
Hadi naandika makala hii, mizogo ya tembo wanane imeonekana katika Kijiji cha Maaloni, Arash, Ngorongoro mkoani Arusha. Miezi miwili, katika Kitongoji cha Karkamoru, Loliondo pekee twiga wanane wameuawa. Watuhumiwa wa ujangili wamekwisha kukamatwa, japo kuna taarifa kuwa wahusika wenyewe bado…
MAISHA NI MTIHANI (7)
Ujana ni mtihani. Ujana ni kama mtindo unapita haraka. Ujana ni moshi, ukienda haurudi. Hakuna mzee yeyote ambaye ana utajiri wa kununua tena siku zake za ujana. Kipindi cha ujana ni kimoja, ingawa baadhi ya wazee wanaitwa vijana wa zamani….
Hali zinabadilika, mabadiliko ni muhimu
Desemba 13, mwaka huu itatimia miaka 27 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliposema: “Hali zinabadilika. Tuendelee na chama kimoja cha siasa ama tuwe na vyama vingi vya siasa.” Maelezo haya aliyatamka Desemba 13, mwaka 1991 alipozungumza na…