JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kweli tunahitaji mabadiliko?

Kwanza nianze kwa kuweka usahihi kwenye kichwa cha habari cha makala iliyopita katika safu hii ya Fasihi Fasaha.  Nilizungumzia juu ya “Usibadili bura yako na rehani”. Bura na rehani ni majina ya vitambaa vya hariri vyenye asili moja ya malighafi…

Marekani inavyoipiga jeki Afrika kiuchumi

Rais wa Marekani, Barack Obama, ametembelea nchi kadhaa za Afrika wakiwamo majirani zetu, Kenya, alikohudhuria kongamano la ujasiriamali.  Ziara ya Obama imeendelea kuonesha namna Marekani inavyoweka juhudi katika kulinda maslahi ya uhusiano wa kiuchumi na kiulinzi baina yake na nchi…

Tatizo siyo Edward Lowassa, ni Chadema

 Kupokelewa kwa Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kama mwanachama wa Chadema na kuteuliwa kwake kuwa mgombea urais wake ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kunapaswa kuwaacha hoi Watanzania wengi. Hoi kwa…

Haya ndiyo maajabu ya ‘fair play’ kwenye soka

Mashabiki 114,580 walishuhudia Ali Bin Nasser kutoka Tunisia akirudi katikati ya dimba baada ya kupuliza filimbi katika dakika ya 51 kwenye Uwanja wa Azteca Juni 22, 1986 nchini Mexico, katika mchezo wa robo fainali Kombe la Dunia kuruhusu bao la…

Rais JK, Wazee watokwa jasho

Kikao cha Baraza la Ushauri la Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichokuwa kifanyike wiki iliyopita, kilishindikana baada ya kuchafuka kwa “hali ya hewa”. Hali ya mambo ilibadilika baada ya mpango wa Rais Jakaya Kikwete wa kuwatumia kama njia ya yeye kukwepa…

Mzungu mchochezi anaswa Loliondo

Raia wa Sweden, Susanna Nordlund, anayetambuliwa kama mmoja wa wachochezi wakuu wa migogoro katika eneo la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha, amekamatwa na kufukuzwa nchini. Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama na Mkuu wa Wilaya (DC) ya Ngorongoro, Hashim Shaibu,…