Author: Jamhuri
Tusiibeze bajeti, tusiishangilie
Juni 9, mwaka huu, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, aliwasilisha bajeti ya Serikali bungeni kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Bajeti hii imeficha siri nzito yenye mwelekeo wa kuliondoa Taifa letu katika aibu ya kuwa ombaomba. Ni kweli,…
Bajeti irekebishwe
Wiki iliyopita, Serikali imewasilisha bajeti yake bungeni. Bajeti hii imetangaza maeneo mengi ya kuboresha uchumi wa nchi hii. Imetangaza uwekezaji mkubwa katika reli, ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara za kisasa, ununuzi wa meli, kuweka mazingira bora ya uwekezaji, upimaji…
Tunaposubiri machafuko ili tunyooshe mambo
Mwaka 1953 nilikuwa mwanafunzi wa darasa la kumi, miaka hii ni kidato cha nne, nilikuwa nasoma Shule ya Sekondari ya Chidya, wilayani Masasi, Kusini Tanzania (Tanganyika enzi hizo). Shule ya Chidya ilikuwa shule ya kwanza ya sekondari Kusini Tanganyika. Ilianzishwa…
VAT itaua utalii nchini
Serikali imetakiwa kutazama upya mpango wake wa kukopa ndani na nje ya nchi pamoja na kutafakari upya suala la kuanzisha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika sekta ya utalii. Bajeti iliyowasilishwa bungeni, Dodoma na Waziri wa Fedha na Uchumi,…
Milioni 50 kila kijiji, walipa kodi wapya
Kwa mara ya kwanza Serikali mpya ya Rais John Pombe Magufuli, imesoma bajeti yake ambayo tumeona fedha nyingi zikipangwa kwenye miradi ya maendeleo. Ni jambo jema kwa kuwa wakati wa kampeni tuliahidiwa Serikali itatatua matatizo ya wananchi hasa kuwapatia maendeleo. …
Friedkin Conservation Fund wanavyoyumbisha Serikali
Friedikin Conservation Fund (FCF) ni Kampuni tanzu ya kampuni za uwindaji wa kitalii zinazomilikiwa na tajiri Mmarekani, Friedkin. Kampuni hizi zimekuwa mstari wa mbele kuvuruga tasnia ya uwindaji wa kitalii nchini Tanzania. Zimekuwa zikikiuka sheria za nchi kwa makusudi huku…