Author: Jamhuri
IGP inusuru Tunduru
Katika toleo la leo tumechapisha taarifa za magendo ya zao la korosho, maarufu kama ‘kangomba’ inayoendelea katika mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi. Kwa kiasi kikubwa, habari hiyo imejikita katika Mkoa wa Ruvuma, Wilaya ya Tunduru. Watendaji wa umma katika…
Nina ndoto
Yusufu alikuwa mtoto wa Yakobo. Akiwa na miaka 17 baba yake alitokea kumpenda sana maana alikuwa ni mwana wa uzee wake, akamtengenezea kanzu ndefu. Ndugu zake walipoona anapendwa zaidi wakaanza kumchukia. Siku moja Yusufu akaota ndoto na kuwaambia ndugu zake,…
Binadamu kutoka Afrika walivyozagaa duniani
Watu wa kale walitumia zana za mawe kuchinja mawindo yao. Katika kutekeleza hayo, huacha alama za chale kwenye mifupa. Hizi chale huweza kutambuliwa kutokana na umbo lake. Nyingi huwa na umbo la ‘V’ pamoja na mikwaruzo miembamba upande wa ndani…
Rais Magufuli, Dk. Mpango jengeni wafanyabiashara
Wiki hii naandika makala kwa kusukumwa na kauli za viongozi wakuu wawili wa taifa hili. Hawa si wengine, bali ni Rais John Pombe Magufuli na Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango. Rais Magufuli ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuepuka…
NSSF watekeleza agizo la Rais
Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeanza utekelezaji wa maagizo ya Rais John Magufuli kwa kuhakiki waliokuwa wafanyakazi wa migodi na ajira za muda mfupi. Akizungumza mwishoni mwa wiki, Meneja Kiongozi wa Matekelezo (Chief Manager Compliance and Data Management), Cosmas…
Waraka wa korosho kwa Rais Magufuli
Natanguliza shukrani kwako Rais wetu mpendwa kwa utendaji kazi wako uliotukuka na ambao watu wa mataifa mengine wanatamani ungekuwa rais wao. Nchi nyingi zinakupigia mfano japo umeiongoza Tanzania kwa miaka mitatu tu! Naamini si wote watakaoukubali utendaji wako hasa waliokatiwa…