JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CCM na utawala uliofitinika

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kujifunza au kimepuuza matokeo ya migawanyiko na anguko kwa serikali mbalimbali duniani ziliendekeza tawala za kiimla dhidi ya haki, utu na usawa. Anguko la tawala dhalimu zilizodumu madarakani kwa ubabe na kukosa nguvu za hoja…

CCM yachomoa tena panga lake

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea malalamiko mengi juu ya ukiukwaji wa taratibu na kanuni kabla na wakati wa kura za maoni, hivyo sasa vikao vizito vya chama vinatarajiwa kufyeka wagombea watakaotiwa hatiani.  CCM ina utaratibu wa kukata majina ya makada…

Naiona Serikali ya Mseto

Wale wanaopenda kutazama runinga wanaona kwa macho yao namna siasa za Tanzania zinavyobadilika kwa kasi kila siku. Mwishoni mwa wiki walionekana wananchi kwenye maeneo kadhaa katika vijiji vilivyopo mikoa ya Arusha na Tanga wakichoma na wengine wakichana kadi zao za…

Yah: Mimi siasa basi, naomba kazi mpya

Ukisikia mtu mwenye mkosi katika maisha ya siasa basi ni mimi Mzee Zuzu, ninayeishi huku Kipatimo. Naishi maisha magumu sana tangu nchi hii ilipopata Uhuru hadi imekomaa kwa Uhuru wake. Nimepigana usiku na mchana tangu nikiwa barobaro hadi naingia utu uzima,…

Mabadiliko ni mapinduzi, ni mageuzi

Binadamu awe mtu mmoja mmoja, kundi la watu au jamii fulani  wanapenda mabadiliko lakini wanahofia mabadiliko yenyewe yatakuwaje. Muasisi au waasisi wa mabadiliko huwa na wasiwasi kuhusu hayo wayatakayo kama yatafaulu au laa.Kwa sababu hawana uhakika na matokeo yake. Watu…

Umuhimu wa wagombea huru sasa umedhihiri

Kama unahitajika ushahidi kuwa upo umuhimu wa kuruhusiwa kwa wagombea huru ndani ya Katiba ya Tanzania, basi umejitokeza sasa baada ya matukio ya hivi karibuni yaliyomo ndani ya siasa za Tanzania. Tukio lililohitimisha ukweli huo ushahidi ni kuhama kwa Waziri…