Author: Jamhuri
Ndugu Rais tuepushe tusifike Golgota
Ndugu Rais, abarikiwe sana mwanamwema yule aliyenifanya niione nchi ya ahadi, Israel. Mungu ni mwema naye ana maajabu yake. Kwa miguu yangu isiyostahili nilikipanda kilima nikiifuata njia ile ile ya msalaba aliyoipita Bwana Yesu kituo kwa kituo. Yesu alibeba msalaba….
‘Heri ya Mwaka Mpya’ ilivyozua tafrani
Wapo Watanzania wengi ambao tumeiga desturi ya mwanzoni mwa mwaka ya kupongezana na kuombeana mema katika mwaka unaoanza. Ni jambo jema bila shaka, lakini nimegundua pia ni desturi inayoweza kuzua kero na ugomvi baina ya watu. Nimekuwa na utaratibu wa…
Baada ya Dreamliner na Airbus, tupate helikopta
Helikopta za uokoaji ni kitu kingine muhimu sana kinachompasa Rais John Magufuli awafanyie Watanzania baada ya kazi nzuri kwenye Bombardier, Dreamliner na Airbus. Tunahitaji kwa uchache helikopta moja ya uokoaji kwa kila kanda. Tuanze na kanda kabla ya mkoa kwa…
MAISHA NI MTIHANI (13)
Matatizo ni mtihani. “Matatizo huzaa matatizo; lakini matatizo ni mazalio makubwa ya mafanikio. Mara chache mafanikio ya kweli, maendeleo ya kweli yanakuja kwa njia nyingine,” alisema Gerald Jaggers. Matatizo ni fursa ya kupiga hatua mbele. Likabili tatizo, usilizunguke, usilikwepe. “Matatizo…
Kuporomoka maadili nani alaumiwe? (3)
Wiki iliyopita katika mfululizo wa makala hii tuliishia pale mwandishi aliposema ni nani amewaandalia haya mazingira? Ni mimi au wewe? Ni yule au wao wenyewe? Jibu ni si yule wala wale, si yeye. Ni mimi na wewe, kwa nini ni…
Rais nakuomba utafakari upya (1)
Ndugu Rais, niruhusu nianze kwa kumnukuu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu alisema: “Kudumisha uhai wa wanyamapori wetu ni suala linalotuhusu sana sisi sote katika Afrika. Viumbe hawa wa porini pamoja na mapori wanamoishi si tu kwamba ni muhimu…