Author: Jamhuri
Watu 70 waungua moto
Mexico Bomba la mafuta nchini Mexico limelipuka na kuua watu zaidi ya 70 huku wengine 71 wakijeruhiwa vibaya baada ya watu wasiofahamika kutoboa bomba hilo kwa nia ya kuiba mafuta. Katika mji wa Tlahuelilpan, Jimbo la Hidalgo, mwishoni mwa wiki…
Kukojoa mara kwa mara, sababu zinazochangia na suluhisho
Kukojoa ni njia inayotumiwa na mwili kutoa takamwili mbalimbali. Ni muhimu kwa mnyama kukojoa kwa sababu kupitia mkojo mwili unatoa uchafu mwingi usiohitajika mwilini kama vile maji ya ziada yasiyotumika mwilini. Pamoja na umuhimu wa kukojoa, kukojoa mara nyingi kwa…
Rais Magufuli, Dk. Mpango jengeni wafanyabiashara (3)
Wiki iliyopita katika makala hii nimezungumzia umuhimu wa kuwa na wafanyabiashara. Nimeeleza wafanyabiashara walivyo na fursa ya kutumia miundombinu inayojengwa kama reli kwa kusafirisha mizigo ya biashara, ndege kuwahi vikao na barabara kwa malori kusafirisha mizigo kila siku tofauti na…
Wananchi Tegeta, Madale, Goba, Salasala wachekelea kupata maji
Ule usemi wa baada ya dhiki ni faraja, umeanza kudhihirika kwa wakazi wa Salasala, Wazo na Madale jijini Dar es Salaam baada ya baadhi ya maeneo hayo kuanza kupata huduma ya maji kutoka Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA). Maeneo…
Gharama za usafirishaji samaki nje ni za kukomoa
Wafanyabiashara wa mazao ya baharini wanaopeleka nje na kuingiza samaki wana kilio chao kikubwa. Wafanyabiashara wa samaki aina ya kamba kochi hai (live lobster), kamba walioganda (frozen prawns) na kaa hai (live crabs) wako taabani kiuchumi. Mwanzo walikuwa wanalipia mrabaha (royalties) kwa kamba kochi dola 0.9 za Marekani…
Mali ya Watanzania inayowatajirisha Wajerumani
Nadharia ya mabadiliko ya viumbe inatuambia kuwa viumbe wanabadilika, wanatoweka na kuja viumbe wapya kila baada ya kipindi fulani cha maisha. Viumbe waliokuwapo huko mwanzo wa dunia si hawa waliopo leo, na kwa hakika viumbe watakaokuwapo mamilioni ya miaka baada…