JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Dk. Magufuli hashikiki

Hotuba za mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, zenye mwelekeo wa kuileta Tanzania mpya, zimeonekana kuwakuna wengi. Dk. Magufuli, hotuba zake zimekuwa zikiwagusa wananchi kutokana na kugusa kero zinazowakabili moja kwa moja. Kwa wale wanaotaka mabadiliko,…

Uzoefu nilioupata Mlima Meru

Tupumzike siasa kwa leo. Nazungumzia utalii. Kwa mara ya kwanza hivi karibuni nilipata fursa ya kusindikiza mgeni kutoka Scotland aliyetembelea Tanzania na kuamua kukwea Mlima Meru mkoani Arusha. Kilele cha Mlima Meru kina urefu wa mita 4,566 juu ya usawa…

Wanaomnyooshea kidole Lowassa wamechelewa

Mwaka mmoja nyuma  kabla ya vuguvugu hili la Uchaguzi Mkuu kupamba moto,  niliandika makala iliyokuwa na kichwa cha habari ‘Ninachompendea Lowassa ni hiki’. Kusema ukweli makala hiyo ilinipa nafasi kubwa ya kuzielewa vizuri siasa za nchi yetu na hasa Afrika…

Septemba 11: Tukio lisilosahaulika Marekani

Dunia imetimiza miaka 14 tangu kutokea mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa na Al-Qaeda. Mashambulizi hayo yalitokea saa 2:00 asubuhi Jumanne, Septemba 11, 2001 ambako watu 19 waliokuwa ndani ya ndege nne za kuvuka mabara (Trans – Continental Flights) kuziteka na kuzigeuza…

Kosa la Dk. Magufuli ni kusimamia sheria?

Nimesoma makala ya rafiki na kaka yangu Joster Mwangulumbi, iliyokuwa na kichwa cha habari: “Yako mengi tunayopaswa kuyatafakari”. Makala hiyo fupi, lakini kali, inamhusu mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. Aya moja inasema: “Rais Kikwete na…

Vitimbwi vya Uchaguzi Mkuu 2015

Kipenga cha uchaguzi kimepulizwa tangu Agosti 21, 2015 na refa ni Tume ya taifa Uchaguzi (NEC).  Kuanzia tarehe ile wachezaji wote ambao ni vyama vya siasa wamepaswa kucheza mchezo huu yaani kuandaa sera zao kwa wananchi kulingana na sheria ya…