JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Bibi harusi aanguka na kufa ghafla ukumbini

Na Isri Mohamed Imezoeleka siku ya harusi ni siku ya furaha, shangwe, nderemo na vifijo hasa kwa maharusi wenyewe, lakini imekuwa tofauti kwa Mr Emile ambaye ameshuhudia mke wake akifariki mbele yake na wageni wakiwa ukumbini kwenye sherehe yao, ikiwa…

Hezbollah yamtangaza Naim Qassem kuwa kiongozi wake mpya

Hezbollah imetangaza kuwa naibu katibu mkuu wa kundi hilo atakuwa mkuu wake mpya. Naim Qassem anachukua nafasi ya kiongozi wa muda mrefu Hassan Nasrallah, ambaye aliuawa katika shambulio la anga la Israel huko Beirut mwezi uliopita. Ni mmoja wa viongozi…

Wadau wakutana Arusha kujadili bima ya afya kwa wote

Kongamano kuhusu Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote na Mdahalo wa Kitaifa kuhusu Mpango wa Ufadhili wa Sekta ya Afya yanafanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha jijini Arusha kuanzia tarehe 29 na 30 Oktoba 2024 na…

Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme – Kapinga

📌 Asisitiza dhamira ya Serikali ni kupeleka umeme maeneo yote Naibu Waziri Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Vijiji vyote 76 vya Jimbo la ya Newala Vijijini Mkoa wa Mtwara vimefikiwa na huduma ya umeme kwa umbali wa kilometa 1. Mhe….

Watahiniwa 974,229 wafaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi, 61 wafutiwa matokeo yao

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUMLA ya watahiniwa 974,229 kati ya 1,204,899 waliofanya mtihani ambao nisawa na asilimia 80.87 ya watahiniwa wenye matokeo wamefaulu mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi 2024. Aidha Baraza la Mitihani Tanzania limefuta matokeo…

Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Musuguli afariki dunia

Jenerali Musugiri ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), amefariki dunia leo Oktoba 29, 2024 jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwake, Butiama mkoani Mara. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu, Jenerali…