JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ripoti ya Warioba ya Rushwa inatisha (2)

Katika sehemu ya kwanza ya ripoti hii, tulikuletea hadidu rejea alizopewa Jaji Joseph Warioba na wajumbe wenzake wa Tume ya Kuchunguza Kero ya Rushwa Nchini na sehemu ya vyombo vya dola vilivyotajwa kuwa wanakula rushwa. Katika sehemu ya pili leo,…

Meja Jenerali Milanzi apigilia msumari mgogoro wa kitalu

Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi, amesema msimamo wa Waziri wa wizara hiyo wa kurejesha kitalu cha uwindaji wa kitalii kwa kampuni ya Green Miles Safaris Limited, ni sahihi, umezingatia sheria na hauwezi kutenguliwa. Amesema…

Hoteli yamjaribu JPM

Hoteli ya kitalii ya Ramada iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam imeajiri wageni wasio na vibali vya kufanya kazi husika nchini. Abdul Saleem Aboonhi Kollarathikkal, raia wa India mwenye hati ya kusafiria namba Z1873501 ameajiriwa katika Hoteli ya Ramada kama…

Uingereza wamechagua kunywa sumu

Moja ya hotuba za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zinazowakuna Watanzania ni ile ya Dhambi ya Ubaguzi. Mwalimu Nyerere aliwaonya Watanzania kuepuka dhambi ya ubuguzi. Alituasa Watanzania kuwa ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu, ukiishaanza hauachi….

Mwitikio huu ulipaji kodi unastahili kupongezwa

Wananchi wameitikia mwito wa ulipaji kodi kwa mujibu wa sheria. Kwa namna ya pekee, mamia kwa mamia ya wananchi wameonekana katika ofisi za Serikali za Mitaa na Ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) nchini kote wakiwa kwenye misururu kwa…

Vyombo vya umma vinasaidia umma?

Kama kuna nchi yoyote yenye vyombo vingi vya umma, basi nchi hiyo ni Tanzania. Shabaha ya vyombo vyote hivyo ni kumtumikia binadamu au kutumikia umma wa Tanzania. Lakini vyombo hivi vya umma vinasaidia umma? Na kama vinasaidia umma ni kwa…