JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mikumi kuongeza shughuli za kitalii

Kutokana na sekta ya utalii kutiliwa mkazo na Serikali ya Awamu ya Tano kwa ajili ya kuinua uchumi wa nchi, Hifadhi ya Taifa ya Mikumi iliyopo Kilosa, mkoani Morogoro imejipanga kuongeza shughuli za kitalii kwa lengo la kuvutia watalii wengi…

Tunafanya dhambi kuua hifadhi

Tanzania imetenga maeneo kwa ajili ya kuhifadhi maliasili na urithi wa taifa kwa kuwa na maeneo yaliyohifadhiwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Wizara ya Maliasili na Utalii ndiyo iliyopewa mamlaka ya kusimamia…

Ndugu Rais busara ni kupatana, tuwezeshee maridhiano

Ndugu Rais, kama Mwenyezi Mungu alinijalia sauti inayosikika na wengi walio karibu na walio mbali ili niwasemee waja wake, basi namwomba Muumba wetu huyo huyo awajalie baraka viongozi wetu ili wasizifanye ngumu shingo zao, bali wabarikiwe na wautegee sikio ukulele…

Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro

Ndugu Mhariri, Naleta hoja hii ambayo inatuhusu sisi wananchi wa Wilaya ya Kilosa kupitia Umoja wa Wakulima wa Umwagiliaji Mvumi (UWAUMVU) kuhusu uharibifu wa Skimu ya Mvumi. Skimu ya Mvumi iko katika Kijiji cha Mvumi, Kata ya Magole, Wilaya ya…

Upuuzi na manufaa kwenye mtandao

Sina hakika kama lipo suala linaloweza kumpotezea binadamu muda wake bila manufaa yoyote kama kupitia taarifa zinazotufikia kwa njia ya mtandao. Watumiaji wa mtandao duniani wanakadiriwa kufikia bilioni 3.2 na wengi wao, kila siku wanasambaza taarifa za kila aina mtandaoni….

Trafiki akiomba leseni mwambie hivi…

Ukisimamishwa na trafiki barabarani na ukawa hauna leseni mfukoni kwa muda huo si kosa. Mwambie huyo trafiki kuwa hilo si kosa. Sheria inataka kutembea na leseni tunapoendesha vyombo vya moto, lakini pia haisemi kuwa utakapokuwa hauna pale unapoombwa na trafiki ni…