Author: Jamhuri
Yah: Mheshimiwa Rais, usiamini sana katika elimu, uongozi ni kipaji pia
Katika siku za hivi karibuni umekuwa ukifanya uteuzi kuziba nafasi nyingi za majipu ambayo umeyatumbua, kwa ufupi umeifurahisha jamii ya walalahoi wengi walioteseka katika kipindi kirefu ndani ya nchi yao. Majipu mengi ambayo yalikuwa yakitegemea majipu makubwa yamewanyanyasa sana wananchi…
Wajibu wa Polisi usalama si woga
“Tekelezeni wajibu wenu bila ya woga. ( Makofi ) Katekelezeni wajibu wenu bila ya woga kwa kuzingatia sheria. ………Niwaombeni sana, vyeo vyetu tuviweke pembeni na sheria tusiweke pembeni. …….Mimi Rais wenu nipo pamoja na nyinyi.” Ni tamshi lenye upendo na…
VAT kwenye utalii: Ukweli na hasira
Nafanya kazi kwenye sekta ya utalii kwa muda sasa; kwenye utalii unaotambulika kama utalii wa utamaduni na ingawa kuna masuala mengi bado najifunza kuhusu sekta hii kwa ujumla, naamini nimejifunza vya kutosha kuweza kuchangia mawazo yangu juu ya uamuzi wa…
Uzalendo unatuumiza michezoni
Katika michezo ya Olimpiki iliyofanyika nchini Mexico katika Mji wa Mexico City mwaka 1968 Tanzania iliwakilishwa na mwanariadha aliyefahamika kwa jina la John Stephen Akhwari kwa upande wa mbio za marathon. Kwa wale wasiomfahamu huyu ni mwanamichezo hodari wa kipindi…
Kashfa Bunge
NA MANYERERE JACKTON Tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, upendeleo na ufisadi zimeanza kufichuliwa ndani ya uongozi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwenye mlolongo huo, kumeibuka madai ya kuwajiriwa kwa watoto wa vigogo. Waziri mwanamke anatajwa…
DG aanza kazi Bandari
Baada ya gazeti la JAMHURI kuchapisha habari za uchunguzi wiki iliyopita kuonyesha udanganyifu unaofanywa na baadhi ya maafisa wa Bandari ya Dar es Salaam, hali inayoipotezea mapato Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wiki moja tu, hali imebadilika. Bandari ya Dar…