Author: Jamhuri
Waziri Mkuu anena
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali imejiandaa kumjibu Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), kwa ushahidi; na sasa inachofanya ni kumsubiri arejee nchini. Amesema serikali inatambua kuwa Lissu anatibiwa, na kwa maana hiyo si jambo la busara kujibizana na…
Mauaji Njombe hayakubaliki
Habari kubwa katika gazeti letu la leo inahusiana na mauaji ya watoto yanayoendelea mkoani Njombe. Serikali kupitia vyombo vya dola imeimarisha ulinzi na usalama Njombe. Bunge limeombwa kuunda kamati ya kuchunguza mauaji haya. Uchunguzi wa Gazeti hili la JAMHURI umebaini…
Nina ndoto (6)
Watu ni nguvu. Ukikaa na watu bora utakuwa mtu bora. Ukikaa na watu wa kawaida utakuwa mtu wa kawaida. Ukikaa na watu wanaowaza mambo hasi utaanza kuwaza mambo hasi, ukikaa na watu wanaowaza mambo chanya utakuwa mtu chanya. Ukiwa na…
Zakaria amkaanga Luoga
Siku kadhaa baada ya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious Luoga, mfanyabiashara maarufu, Peter Zakaria, ambaye yuko mahabusu ameibua mambo mapya yanayomhusu Luoga. Zakaria ambaye amezungumza na Gazeti la JAMHURI kupitia kwa msemaji…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (1)
Wiki iliyopita nimehitimisha makala iliyokuwa ikiwasihi Rais John Magufuli na Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango, kujenga wafanyabiashara nchini. Nimeandika makala hii katika matoleo matano yaliyopita, na nashukuru tayari maandishi yangu yamezaa matunda. Nilianza kuandika makala hizi baada ya Rais…
Ukiona dalili hizi za saratani muone daktari
Saratani ni muunganiko wa magonjwa ambayo mara zote husababishwa na uzalishwaji wa seli za mwili kupita kiasi kinachohitajika mwilini, na seli hizo huendelea kujigawa kupita kiasi na kutengeneza kiasi kikubwa kuliko mwili unavyoweza kuhimili. Ukuaji huu wa seli hizi unaweza kusababisha vimbe…