Author: Jamhuri
Utafiti: Gazeti la JAMHURI kinara ubora wa maudhui 2018
Gazeti la JAMHURI linalochapishwa na kusambazwa siku ya Jumanne kila wiki nchini na nchi jirani Afrika Mashariki, limeongoza dhidi ya vyombo vingine vyote vya habari Tanzania Bara na Zanzibar vilivyohusishwa kwenye utafiti wa ubora wa maudhui kwa vyombo vya habari…
Ndugu Rais 2020 mikononi mwako tunaziweka roho zetu
Ndugu Rais, dunia nzima hivi sasa imesukwa kwa mitandao. Hii haikwepeki. Imeyafanya yanayotendeka katika nchi zetu hizi yasiwe siri tena. Kila kitu kinaanikwa. Katika siku za hivi karibuni habari zetu nyingi zimeijaza mitandao mingi. Ukitaka kujua habari zetu za kutusifia…
Biashara ya mkaa na mazingira Tanzania
Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uhai mpaka tukapata fursa ya kubadilishana mawazo juu ya umuhimu wa mkaa na athari zake kwa mazingira. Vilevile napongeza sana menejimenti ya Mwananchi Communications Limited na ITV/Radio One chini ya IPP Media;…
Mradi wa maji Ibwera ‘sokomoko’
Ibwera ni kata iliyoko katika Tarafa ya Katerero, Wilaya ya Bukoba Vijijini. Sehemu hiyo si kame sana ukilinganisha na sehemu nyingine zenye ukame hapa nchini. Ina mito ya kutosha na imezungukwa na maziwa mengi madogomadogo ambayo yanaipa sifa ya kutoonekana…
Tanzania bila itikadi inawezekana?
Nimewahi kujenga hoja kuwa Mtanzania anaposhiriki kwenye uchaguzi haongozwi na msimamo wa kiitikadi wa chama chake cha siasa, bali na masuala mengine ambayo hayapewi uzito na wachambuzi. Si vigumu kuamini kama nilivyoamini unaposhuhudia mara kwa mara wanachama kuhama chama kimoja…
Mambo muhimu mkataba wa ajira unapovunjwa
Mkataba wa ajira ni sawa na mikataba mingine. Huingiwa kwa hiari ya wahusika na wahusika hao hao waweza kuondoka katika mkataba huo kwa hiari zao. Tuzungumzie mwajiri kuamua kujitoa katika mkataba wa ajira. Mwajiri anaweza kujitoa katika mkataba wa ajira….