Author: Jamhuri
Samatta kuitangaza Tanzania ughaibuni
“Kuwa mbali na umaskini, ni hali iliyo njema mno. Na afya kama haba mwilini, ni taabu haina mfano. Kuwa na rafiki sheriani, uborawe si wa mlingano. Hushinda fedha ya mfukoni isiyoweza kutenda neno. Na laiti si machukiano, tungalikuwa wote…
Samatta kuitangaza Tanzania ughaibuni
Serikali sasa imeamua kumtumia Mbwana Samatta katika kuuza utalii wa Tanzania duniani. Samatta anasakata soka katika klabu ya Genk, Ubelgiji. Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii, imetangaza nia ya kuanza kumtumia mchezaji huyo pekee anayecheza soka la…
Matapeli wa madini
Magenge ya matapeli kwenye biashara ya madini, yameibuka na kuendesha shughuli zake bila hofu. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwapo kwa matukio ya utapeli na kuifanya sifa ya Tanzania izidi kuchafuka mbele ya jumuiya ya kimataifa. Mwaka 2013, JAMHURI lilichapisha…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 9
Polisi waliiharibu TAKUKURU YALIYOJITOKEZA 154. Tume imetafakari kwa undani muundo wa taasisi na shughuli za kurugenzi zote. Katika kufanya hivyo, umuhimu wa Kurugenzi ya Mafunzo, Utafiti na Elimu kwa Umma umetiliwa maanani hasa kwa kuzingatia jukumu lake zito…
Polisi wakiwa matapeli, wananchi wafanyeje?
Habari iliyochukua uzito wa juu kwenye gazeti hili toleo la leo inahusu vitendo vya utapeli kwenye biashara ya madini. Jambo la kusikitisha ni kusikia kuwa kwenye genge la matapeli hao wamo watumishi wa Serikali, hasa kutoka Jeshi la Polisi. Hizi…
Serikali kufufua NASACO Bandari
Serikali inakusudia kufufua Shirika la Taifa la Uwakala wa Meli (NASACO), katika jitihada za kuboresha huduma katika Bandari ya Dar es Salaam kuhudumia wateja wake kwa ufanisi zaidi. Akizungumza na wahariri, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA),…