Author: Jamhuri
Wananchi waitunishia Serikali msuli
Mvutano umeibuka kati ya serikali na wakazi wa Kata ya Nyatwari, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara baada ya wananchi hao kutakiwa kuhama huku wao wakipinga amri hiyo. Wananchi hao wametakiwa kuondoka kwenye kata hiyo ili kupisha njia ya wanyama wanaotoka…
Tuongeze uwekezaji elimu
Kwa muda sasa tunapata taarifa kutoka sehemu mbalimbali za nchi juu ya uhaba wa vyumba vya madarasa kwa watoto walioshinda mtihani wa darasa la saba kwenda kidato cha kwanza mwaka 2018. Malalamiko ya ukosefu wa vyumba vya madarasa yameanza kujitokeza…
NINA NDOTO (8)
‘Tumezaliwa kwa ajili ya wengine’ Hapo zamani za kale kulikuwa na mkulima aliyenunua vibuyu viwili vya kutekea maji. Baadaye alikuja kugundua kwamba kibuyu kimoja kilikuwa kimetoboka sehemu ya chini. Mkulima huyo alizoea kutekea vibuyu hivyo maji kutoka mtoni na…
Wananchi walilia fidia mradi wa umeme
Wananchi wa maeneo ya Kinyerezi, Chalinze na Tanga waliohamishwa kupisha mradi wa umeme wa North, East, Grid wa (Kv 400), wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwalipa fidia licha ya zoezi la uhakiki wa maeneo hayo kukamilika tangu mwaka 2015. Wakizungumza na Gazeti la…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (3)
Wiki iliyopita nilieleza sehemu ya pili ya taratibu za kuanzisha biashara kwa mtu yeyote mwenye nia ya kufanya hivyo hapa Tanzania. Nimeandika mwendelezo wa hatua ya kwanza ambayo ni ‘wazo la biashara’ na nikagusia hatua ya pili ambayo ni ‘eneo…
Dalili za shambulio la moyo
Kinga ni bora kuliko tiba. Mara nyingi magonjwa mengi yanahatarisha afya zetu kwa kutoziweka maanani dalili zake. Bila shaka makala hii leo itakusaidia katika kuzitambua dalili zinazoashiria shambulio la moyo na kuwahi kuwaona wahudumu wa afya. Uchovu usio wa kawaida Uchovu…