JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Bora afya kuliko mali

Afya au siha (hygiene au health) ni hali ya mwili (physically) na akili (mentally) ilivyo kwa kadiri ya kila mtu binafsi anavyojisikia au kuonekana kwa wakati tofauti. Afya inahesabika kuwa ni njema au nzuri mtu anapokuwa timamu, thabiti, na bila…

Usiyoyajua kuhusu CR7

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na Klabu ya Real Madrid ya Hispania, Cristiano Ronaldo, amejinasibu kuwa yeye ni mchezaji bora ulimwenguni. Ronaldo au CR7 aliyepata kuichezea Manchester United ya England kwa miaka zaidi ya mitano, ana mengi ya kujivunia akiwa…

Dozi za Magufuli zaanza

Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli, akiwa anasubiri kuapishwa keshokutwa, tayari ameshaanza kazi zenye mwelekeo wa kuandaa aina ya Serikali atakayoiunda. Habari za uhakika kutoka kwa watu walio karibu na Dk. Magufuli, zinasema amekuwa akitumia muda mrefu…

Uwaziri Mkuu moto

Dk. John Magufuli akitarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wiki hii, mjadala wa nani atakuwa Waziri Mkuu na nani atakuwa Spika wa Bunge la Jamhuri, umeshika kasi. Kwa mujibu wa Katiba, mara baada ya kuapishwa Dk. Magufuli atatakiwa…

Mbowe: Hatuwezi kukata tamaa

Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu umeiweka nchi katika historia nzuri na mbaya, kutokana na kuimarika kwa vyama vya siasa vya ushindani huku dosari nyingi zilizojitokeza. Idadi kubwa ya wananchi waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura walijitokeza katika kampeni…

Polisi wahaha kumlinda Diwani Sandali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, Dar es Salaam, wamekuwa na kibarua kigumu baada ya kuendelea kulinda nyumba ya diwani mteule wa CCM Kata ya Sandali, Abel Tarimo. Tarimo anaelezwa kuwa hapendwi na wananchi, kitendo kinachowafanya watake kuvamia…