Author: Jamhuri
‘Watumishi wa umma msitumike kisiasa’
Serikali imewakumbusha watumishi wa umma nchini kutotumika kisiasa, badala yake watimize majukumu yao kikamilifu. Maelezo hayo kwa watumishi hao wa serikali yametolewa hivi karibuni na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mary…
Mvutano waendelea ‘stendi’ Moshi
Mvutano unaendelea kati ya Halmashauri ya Manispaa ya Moshi na wafanyabiashara wenye maduka katika Jengo la Biashara la Stendi Kuu ya Mabasi mjini Moshi. Mvutano huo unahusu mkataba mpya wa upangaji baada ya ule wa awali wa miaka 15 kumalizika…
Apokwa nyumba kwa deni la mkewe
Chama cha kukopesha wanawake cha Muunganiko wa Wanawake Sekta Isiyo Rasmi Dar es Salaam (MUWASIDA) kwa kushirikiana na Kampuni ya udalali ya Namic Investment Ltd, wanatuhumiwa kuuza nyumba ya Mbegu Kangamika (72) kwa mizengwe. Nyumba hiyo Na. 255 ipo Mtaa…
Uamuzi wa Lowassa ni fursa kwa Dk. Magufuli
Waziri Mkuu (mstaafu), Edward Lowassa, mwishoni mwa wiki iliyopita alifanya uamuzi mwingine mgumu katika maisha yake ya kisiasa. Kama ilivyo kawaida yake katika kufanya uamuzi mgumu kwenye maisha yake ya uongozi nchini, Lowassa alirejea katika Chama chake cha awali, Chama Cha Mapinduzi (CCM),…
NINA NDOTO (9)
Andika maono yako Kuwa na ndoto ni ishara kwamba una tumaini. Kuwa na ndoto ni ishara kwamba unafikiri unaweza kushinda. Kuwa na ndoto kunakufanya uonekane kijana hata kama umri unakwenda. “Kama haujawa na ndoto kuhusu kitu kipya, kitu kikubwa au…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (4)
Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa aya hii: “Je, unafahamu taratibu zikoje ukifika TRA hadi unakadiriwa kiwango cha kodi utakayolipa kwa mwaka? Je, unafahamu ukiishalipa hayo malipo ya TRA ni ofisi ipi nyingine unapaswa kwenda kupata leseni ya biashara? Usiikose…