JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Namna ya kumzuia mwenzako katika ndoa kuuza nyumba

Upo wakati kwenye ndoa ambako mmoja wa wanandoa anaweza akawa anataka kuuza au kubadili jina la nyumba/kiwanja bila ridhaa ya mwenzake ilhali nyumba hiyo ni ya familia. Lakini pia nje ya hilo kuna mazingira ambayo mtu anaweza kuwa si mwanandoa,…

Rais Magufuli nakuomba upitie hapa

Kasi aliyoanza nayo Rais wa Awamu ya Tano, Mheshimiwa Dk. John Magufuli inatia moyo. Kama kweli kelele zote za kutaka mabadiliko zilikuwa za kweli bila ajenda nyuma ya pazia ni wakati mwafaka wa kumuunga mkono kwa kasi hii aliyoanza nayo…

Kwani Simba mna kiasi gani?

Uungwana ni vitendo na uungwana huo huthibitika pale ukweli halisi unaposemwa bayana badala ya kukwepakwepa na kutafuta visingizio. Katika misimu mitatu mfululizo, mwenendo wa Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club ya Dar es Salaam katika Ligi Kuu umekuwa si mzuri….

Kishindo cha Rais Magufuli

Rais Dk. John Magufuli, ameanza kutoa mwelekeo wa Tanzania mpya aliyokusudia kuijenga. Uamuzi wake wa kufanya ziara ya kushitukiza katika Wizara ya Fedha, umewafanya watumishi wengi wa Serikali waanze kuhaha. Pamoja na mafanikio hayo aliyoyapata saa chache tangu aapishwe mwelekeo…

Sitta amesahau nini bungeni?

Mwanasiasa wa siku nyingi, Samuel Sitta, ametangaza nia ya kuwania kiti cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kuna sentesi maarufu ya: “ni haki yake ya kikatiba.” Sawa, ni haki yake, lakini hata sisi wananchi tuna haki…

Dk. Magufuli abebeshwa ‘bomu’ chuma chakavu

Angali ana siku chache ofisini, tangu Dk. John Magufuli aanze kazi ya urais, wazalendo kadhaa wamejitokeza kumsaidia kutaja baadhi ya “biashara haramu” zinazokwenda sambamba na taarifa za ukwepwaji kodi hivyo kuliingizia taifa hasara ya mamilioni. Miongoni mwa biashara hiyo ni…