Author: Jamhuri
Wawekezaji wamchongea DC kwa Rais
Uamuzi wa wawekezaji wilayani Hai, Kilimanjaro kumshtaki mkuu wa wilaya (DC) hiyo kwa Rais John Magufuli umepongezwa na baadhi ya wafanyabiashara na kuonekana kuwa ni mwanzo wa kumaliza vitendo vya kunyanyaswa. DC wa Hai, Lengai ole Sabaya, anatuhumiwa na wawekezaji…
Maji ni kichocheo cha maendeleo
Wiki ya Maji ni fursa maalumu ya sekta ya maji nchini kujitathmini kwa kujilinganisha na nchi nyingine duniani katika kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta ya maji. Maji ni kichocheo muhimu cha maendeleo katika sekta mbalimbali za uchumi hapa nchini, ikiwemo…
Tanzania tunao wajibu wa kuziokoa Rwanda, Uganda
Fukuto la kutokea mfarakano na hata umwagaji damu linaendelea kati ya Uganda na Rwanda. Lakini pia kuna msuguano mkubwa wa kidiplomasia kati ya Rwanda na Burundi. Mataifa haya matatu ni wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hii ina maana kwamba…
NINA NDOTO (10)
Maono humfanya dhaifu awe imara Maono hubebwa katika vitu vitatu muhimu. Mosi, uwezo wa kuona mbele. Pili, uwezo wa kuona kwa undani. Tatu, uwezo wa kuona nyuma. Uwezo wa kuona mbele ni sawa na kuona kwa kutumia darubini. Darubini…
Wizara ya Maji yataka wahandisi wazalendo
Serikali inaweka nguvu katika sekta ya maji ili kuhakikisha wananchi katika maeneo yote ya nchi wanapata huduma ya maji safi, salama, ya uhakika na yenye kutosheleza. Wajibu huu wa serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kwa Watanzania wote,…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (5)
Wiki iliyopita nilihitimisha makala yangu kwa kuzungumzia ukadiriaji wa mapato/mauzo/mzunguko, kiwango ambacho hutumika kumkadiria kodi ya mapato mfanyabiashara. Kabla sijaendelea, yametukuta tena. Mtangazaji maarufu nchini, Ephraim Kibonde, amefariki dunia. Kibonde, ndiye alikuwa mwendesha shughuli ya maziko ya Ruge Mutahaba huko…