Author: Jamhuri
NINA NDOTO (11)
Ukiamua kufanya, fanya kweli Fanya mambo kwa ubora. Chochote unachokifanya hakikisha unakifanya vizuri na kwa ubora wa hali ya juu; kiasi kwamba watu wakikiona wawe tayari kuwaambia wengine kuhusu wewe. Hata mimi nikiona kazi yako unaifanya kwa ubora nitakuwa…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (6)
Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa aya hii: “Kumbuka kuna biashara zina leseni zaidi ya moja, hivyo kama nilivyosema kabla ya kuanzisha biashara, unapaswa ufanye utafiti kufahamu aina ya biashara unayotaka kuifanya, eneo unalopaswa kufanyia, aina ya wateja, aina za…
Je, furaha ipo katika vitu?
Furaha ni mtihani. Si kila tabasamu ni ishara ya furaha na si kila chozi ni ishara ya huzuni. Si kila kicheko ni ishara ya furaha na si kila kilio ni ishara ya masikitiko. Kwa msingi huo, furaha ni mtihani. Si…
Ndugu Rais kwanini Nyerere mpaka leo?
Ndugu Rais, kwa pamoja tujifunge unyenyekevu mbele za Mungu kwa sababu Mungu wetu huwapiga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema yake. Tunyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari ili atukweze kwa wakati wake kwa maana yeye hujishughulisha sana na…
Uhuru wa bila mipaka unahitaji ukarabati
Kama kuna mambo ambayo tuna hakika yatajirudia, tena na tena, ni matukio ya ugaidi katika sehemu mbalimbali duniani. Katika tukio la juma lililopita raia wa Australia, Brenton Harrison Tarrant, amefunguliwa mashtaka ya mauaji nchini New Zealand akituhumiwa kupanga na kutekeleza…
Utaratibu wa kisheria katika kununua ardhi
Tunazo aina kuu mbili za ardhi. Tunayo ardhi iliyosajiliwa na ardhi ambayo haikusajiliwa. Ardhi ambayo imesajiliwa ni ardhi iliyopimwa au maarufu ardhi yenye hatimiliki, wakati ardhi ambayo haikusajiliwa ni kinyume cha hiyo. Na ardhi tunamaanisha viwanja, nyumba au mashamba. Pamoja…