JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Magufuli umeanza vizuri, una kazi kutowaangusha Watanzania

Salaamu kwako Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Baada ya salamu, mimi ni mzima na ninaendelea kutega masikio na macho yangu kuhusu kasi uliyoingia nayo madarakani. Rais Magufuli, nakuandikia barua hii kukupongeza, lakini pia kukueleza kwamba pamoja na…

Siku zote ubabe unagharimu (3)

Siku ya kupiga kura Novemba 2, mwaka huu, Dar es Salaam kulikuwa na utulivu na amani kweli. Ni matokeo ya kuitika mwito wa Rais na utiifu wa uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Watu tulipiga kura tukarudi…

Hotuba iliyokosekana kwa miaka 10!

Kwa miaka mingi tulikosa kuisikia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyojaa matumaini. Wiki iliyopita tuliisikia hotuba ya Rais akilihutubia Taifa kupitia Bunge. Wananchi waliosikiliza, waliburudika, lakini wapo wanaotia shaka. Hilo ni jambo la kawaida. Wanatia shaka…

Yah: Mabadiliko yaliyonadiwa kwenye kampeni ndiyo haya?

Nianze kuwapongeza Watanzania wote kuingia katika awamu nyingine ya tano ya uongozi wa nchi hii, tukiwa salama salimini na amani yetu ikiwa ipo pasi na maombi mabaya ya watu wa nje na ndani ya nchi yetu, katika kutuombea tupatwe na…

Tumechezewa, tumechakachuliwa, sasa yatosha

“Mmetuchezea vya kutosha, muda sasa umekwisha. Mmetuchakachua vya kutosha, muda wa kuchakachuana umekwisha. Nataka iwe kazi tu…” Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Rais John Pombe Magufuli, alipokuwa anazindua Bunge la Muungano la Tanzania la 11 Ijumaa, Novemba 20, 2015,…

Tunajaribu kutabiri yasiyotabirika

Baada ya uchaguzi wa Rais John Magufuli, mada iliyotawala mazungumzo maeneo mengi ya Tanzania ilikuwa nani atateuliwa kuwa Waziri Mkuu. Juma lililopita nilikaa kwenye mazungumzo ya aina hiyo na wanakijiji wenzangu na majina mengi yalitajwa. Majina mengi hayakupewa nafasi hata…