JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ndugu Rais ni kweli Mtwara kuchelee?

Ndugu Rais, kwa urais wako nchini mwetu wewe ndiye baba wa sisi wote. Mwisho ni mwaka 2020 au mwaka 2025 au labda hata kuendelea, nani anajua? Marehemu mama yangu alikuwa ananiambia: “Umwenzo wa mtu inkama.’’ Maana yake: “Moyo wa mtu…

Tunaweza kutofautisha Ujamaa na uamuzi wa busara

Mwaka 2014 nilisafiri kwa ndege nikakaa pembeni mwa abiria raia wa Kenya, ambaye alibaini nilikuwa nikisoma kitabu kimojawapo cha hotuba za Mwalimu Nyerere. Alisema: “Nasikia Nyerere aliiharibu sana nchi kutokana na itikadi yake ya Ujamaa?” Katika umri wangu nimeshasikia kwa…

Kubadilishiwa masharti ya umiliki wa ardhi

Umiliki wa ardhi hutolewa kwa masharti maalumu. Kila aliyepewa hatimiliki anajua kuwa amepata hati hiyo kwa masharti ambayo anapaswa kuyatekeleza. Wapo ambao hudhani kuwa ukishapewa hati na masharti, basi ni hivyo hivyo tu, hauna la kufanya hata kama hujaridhika au…

Epuka kuishi maisha ya majivuno (2)

Tuepuke kuishi maisha ya majivuno. Mwandishi Nadeem Kazi anatufundisha kwamba: “Hatuwezi kupanda juu kwa kuwashusha wengine chini.” Tunapanda juu kwa kuwasaidia wengine kupanda. Katika maisha lazima pia tujifunze kuwasaidia wengine. Huwezi kufanikiwa kiroho, kiuchumi, kifamilia, kiutawala, kielimu, kimaadili na kiafya…

MAISHA NI MTIHANI (24)

Moyo uliovunjika usiuvunje   Moyo uliovunjika ni mtihani. Vitu vikivunjika vinaunganishwa, si jambo jepesi kuunganisha moyo uliovunjika na kupondeka. Christie Brinkley amesema: “Afadhali kuwa na mkono uliovunjika kuliko kuwa na moyo uliovunjika.”  Moyo uliovunjika ni moyo wenye maumivu, usiuvunje. “Maumivu…

Miaka 35 bila Sokoine

Alasiri ya Aprili 12, 1984 wakati huo nikiishi Kurasini Highway, nilivuka barabara kwenda Kurasini Shimo la Udongo kuchukua picha zangu za passport kwenye studio moja. Jina la hiyo studio silikumbuki, maana miaka 35 ni mingi, lakini nakumbuka ilikuwa karibu na…