JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Desemba 9 na usafi wa makazi

Kesho ni Jumatano Desemba 9. Tarehe kama hii mwaka 1961 nchi ya Tanganyika ilipata Uhuru wa bendera baada ya kutawaliwa kwa mabavu kwa kipindi cha miaka ipatayo 77 na wakoloni wa Kijerumani na wa Kiingereza. Kwanza ni Wajerumani waliotawala kwa…

Ijue biashara ya uwakala kisheria

Wapo mawakala na wapo wanaohitaji kuwa mawakala. Kwa sasa biashara ya uwakala ni kubwa mno. Wapo mawakala mitandao ya simu kama Tigo, Airtel, Vodacom n.k, mawakala kampuni za usafirishaji kama mabasi, malori n.k, na kampuni nyingine nyingi. Mtindo wa biashara…

Athari za elimu bila pesa

Akifafanua madhumuni ya elimu kwa Taifa katika kuielezea sera ya Elimu ya Kujitegema, Rais Julius Kambarage Nyerere alitamka yafuatayo: “Kurithisha kutoka kizazi kimoja hadi kazi kingine maarifa na mila za Taifa, na kuwaandaa vijana wawe tayari kuchukua nafasi zao katika…

Umejiandaaje na ‘kibano’ cha Magufuli kiuchumi?

Wapendwa wasomaji, ninawasalimu kwa salamu za upendo. Naamini kwamba wengi wenu mnaendelea kufurahia, kushangaa, kupigwa na bumbuwazi ama kuchanganyikiwa kwa hatua mbalimbali zinazochokuliwa na Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, au…

Imetimia nusu karne tangu kifo cha Salum Abdallah

Salumu Abdallah Yazidu (pichani)hatosahaulika kamwe katika ulimwengu wa muziki. Alikuwa mtunzi, mwimbaji wa bendi ya Cuban Marimba iliyokuwa na maskani yake katika mji wa Morogoro.  Wakati wa uhai wake alileta ushindani mkubwa katika muziki wa dansi mjini humo akishindana na…

Bundi atua Man Utd?

Klabu ya Manchester United ya jijini Manchester nchini England imeanza kupasua mioyo ya mashabiki wake baada ya kupata sare tatu mfululizo ndani ya majuma mawili. Man United maarufu kama Mashetani Wekundu ilipata sare nyumbani katika mchezo wa ligi ya mabingwa…