Author: Jamhuri
Wadau waombwa kusaidia mchezo wa kuogelea
Wadau na wapenzi wa mchezo wa kuogelea nchini, wameombwa kutoa michango yao ya hali na mali kuhakikisha mchezo huo unapiga hatau kwa manufaa ya Taifa pamoja na changamoto zilizopo ikiwamo uhaba wa vitendea kazi. Akizungumza na JAMHURI wakati wa kufunga…
Bunduki 13 zanaswa familia ya Mbunge
Watu kadhaa, wakiwamo wenye nasaba na Mbunge wa Mbarali, mkoani Mbeya, Haroon Mulla (CCM), wamekamatwa katika operesheni maalumu wakituhumiwa kujihusisha na ujangili. Katika operesheni hiyo, inayoongozwa na kikosi kazi kinachovishirikisha vikosi vya ulinzi na usalama, bunduki 13 za aina mbalimbali…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 20
Makandarasi ni shida SEHEMU YA PILI KANDARASI ZA UJENZI 408. Wizara ya Ujenzi ni miongoni mwa Wizara zinazotumia fedha nyingi za Serikali. Kwa mfano, katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 1994/95 bajeti ya Wizara ya Ujenzi ilikuwa…
Kiwanda cha Bakhresa chachafua mazingira
Maisha ya wananchi wanaoishi jirani na Kiwanda cha Bakhresa cha kuchakata matunda kilichopo katika Kijiji cha Mwandege, Mkoa wa Pwani, yapo hatarini kutokana na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda hicho. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wananchi hao wanasema maisha…
Waajiriwa Uhamiaji bila kupewa barua
Ikiwa ni mwezi wa tano sasa vijana 300 walioajiriwa katika Idara ya Uhamiaji wakiwa hawajalipwa mishahara, imebainika kuwa chanzo ni kutopewa barua zao za ajira. Rais John Magufuli, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Ikulu, Dar es Salaam wiki…
Mwaka mmoja wa Magufuli madarakani Tusimsifu wala tusimhukumu
Naujadili utawala wa Rais Magufuli kutimiza mwaka mmoja. Kwa kuchagua kwa makusudi maneno mawili – tusimsifu wala tusimhukumu – wengine wanaweza kushangaa! Lakini ngoja nikumbushie kisa cha mtaalamu kutoka Japan aliyepelekwa Kigoma. Huyo mtaalamu kila alipoona eneo jipya alilopelekwa Kasulu,…