JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Uchumi unakuwa kwa matabaka

Wakati Rais John Magufuli akieleza kuwa uchumi wa nchi umekuwa kwa asilimia 7.9 hadi kufikia robo ya mwaka huu na kuifanya Tanzania kushika nafasi ya pili baada ya Ivory Coast, Mchumi Mwandamizi na Mhadhiri wa Uchumi wa Chuo Kikuu cha…

Serikali izifuatilie shule binafsi

Habari kuu tuliyoichapisha katika toleo la leo inahusu mgogoro kati ya wazazi na wamiliki wa shule za Al-Muntazir. Shule hizi ambazo ni za awali, msingi na sekondari zinamilikiwa na Khoja Shia Ithnasheri Jamaat ya Dar es Salaam. Shule hizi zimejiwekea…

Rais Magufuli unaposonga mbele ukumbuke kuangalia tulikotoka

‘Jihadhari na ufumbuzi unaozalisha tatizo jipya’   Napenda Rais John Magufuli afanikiwe kisiasa na kiutawala, napenda aandike historia kama alivyoahidi aliposema na wahariri kwenye mkutano wake wa Novemba 4, 2016 pale Ikulu.  Hata hivyo, kupenda peke yake na kumtakia mema…

Castro kisiki cha mpingo

Historia hutokea, na watunza kumbukumbu huziandika. Mbunge (sasa marehemu) wa Ulanga Mashariki (CCM), Theodos Kasapila, kila lilipotokea jambo kubwa alikuwa akisema; “Haijapata kutokea”. Hakika ni vyema na haki, nikiazima maneno ya Kapteni Kasapila kusema Fidel Castro, aliyekuwa Rais wa Cuba,…

Buriani Castro, wajamaa watakukumbuka

Tawala za kijamaa zilianguka kote duniani, lakini Castro aliendelea kupeperusha bendera nyekundu karibu na maadui wake wakubwa, Marekani. Kiongozi huyo mwenye utata alisifiwa na wafuasi wake kama kiongozi wa ujamaa, askari mwanasiasa ambaye aliirejesha Cuba mikononi mwa watu. Lakini alikabiliwa…

Ndugu Rais wasipokemewa hawa vijana taifa linaangamia!

Ndugu Rais maandiko yanasema katika nchi yoyote hapa duniani, wenye hekima na busara wakinyamaza, wapumbavu na wajinga huongezeka na nchi ikaangamia! Kwa udhaifu wake mwanadamu anajiuliza, kwanini basi katika kuumba ulimwengu Mungu aliumba na wajinga na wapumbavu na akawaweka katika…